Kwanini wanaume wengi wa kitanzania hawapendi kupaka mafuta na kuvaa nguo za ndani ?

Kwanini wanaume wengi wa kitanzania hawapendi kupaka mafuta na kuvaa nguo za ndani ?

Sema wanaume wa mkoani sio wanaume wa Tanzania. Wanaume wa Dar had dressing table wanazo.
 
Mimi mafuta ni usoni na mikononi tu, nitapaka miguuni nikivaa pensi tu vinginevyo imetoka. Asili ya mwili wangu sehemu nitakayoifunika na nguo haipauki hata nisipopaka kitu.

Ila pamoja na hayo kuna maeneo mwanaume ni haramu kupaka mafuta, ukipaka tutaweka shaka juu yako.
[emoji15] Kabisaa unalipaka kalio lako mafuta ili iweje?
Lilainike?
Kwa manufaa ya nani anayevutiwa nalo?

[emoji34] Atakayevutiwa nalo maana yake yupo mgongoni mwako, anafanya nini?

Lazima tukutilie shaka wanaume wenzako
 
Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee

Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Hivi mafuta ya Nazi ni ya mwili mzima
 
Hahahaaa. Nimecheka kwa sauti. Lol.

Kwa nilichokisoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho nimejikuta namuwazia mleta uzi huko aliko ana hali gani.

Pole aiseee.
 
Mi huwa sivai Boxer coz zinalibana Dushe langu lishindwe kujiachia pindi linapojisikia kufanya hivyo pia sipaki mafuta maeneo ambayo hayaonekani kwasababu haina haja kufanya hivyo nani anaona na pia hayo mafuta hayasaidiii chochote huko ndani
 
Mimi mafuta ni usoni na mikononi tu, nitapaka miguuni nikivaa pensi tu vinginevyo imetoka. Asili ya mwili wangu sehemu nitakayoifunika na nguo haipauki hata nisipopaka kitu.

Ila pamoja na hayo kuna maeneo mwanaume ni haramu kupaka mafuta, ukipaka tutaweka shaka juu yako.
[emoji15] Kabisaa unalipaka kalio lako mafuta ili iweje?
Lilainike?
Kwa manufaa ya nani anayevutiwa nalo?

[emoji34] Atakayevutiwa nalo maana yake yupo mgongoni mwako, anafanya nini?

Lazima tukutilie shaka wanaume wenzako
Hahahaha kazi kweli
 
Mimi usafiri wangu miguu, nikipakaa mafuta ya mgando na hili jua la Dar nahisi kama naungua halafu nakuwa mwekundu. Nikipakaa lotion naloa majasho vibaya sana.
 
Back
Top Bottom