Kwanini wanaume wengi wa kitanzania hawapendi kupaka mafuta na kuvaa nguo za ndani ?

Kwanini wanaume wengi wa kitanzania hawapendi kupaka mafuta na kuvaa nguo za ndani ?

Mm huwa sipaki mafuta kabisa,haiwezekani mwanaume nzima ukae dressing table unapaka mafuta labda kama sio ridhiki!
Suala la kuvaa chupi ndio chanzo kikubwa cha vibamia,halafu mnakuja kulalamika kuwa hampendi vibamia!
Hamna Jema nyie watu!!
 
Mleta uzi umesema wewe ni mwanamme!!!
Najiridhisha kuwa wewe ni Daktari wa binadamu hivyo unawachungulia sana wanaume wenzio unapowahudumia.
 
Kwani kunasheria inayowataka wanaume wavae nguo za ndani na wapake mafuta......
 
enzi wafanya umalaya ulijionea mengi sana sishangai kutoa hii secret experience hapa kwa jukwaa
Kweli kabisa wala hujakosea nilkuwa malaya wa kutupwa nimedanga vijiwe vyotee nawajua wanaume nje ndani
 
Mleta uzi umesema wewe ni mwanamme!!!
Najiridhisha kuwa wewe ni Daktari wa binadamu hivyo unawachungulia sana wanaume wenzio unapowahudumia.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji23]
 
Mimi sipendi kupaka mafuta kwa kuwa ngozi yangu ina mafuta tayari, nikipaka nakuwa nimejiovadozi na nikitembea ktk jua inakuwa jau, ila sijawai kupauka.

Nguo za ndani lazma nivae.
tumia dry skin lotion haina shida.
 
Fag detected unaanzaje kujadili wanaume wenzako na kupaka mafuta, kama umeona hivyo hawapaki ujue ndivyo inavyotakiwa kufanywa na wanaume
 
Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee

Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Ukimkuta mwanaume anapaka mafuta ktk makalio basi mchunguze sana mwenendo wake.
 
Back
Top Bottom