shirley myles
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 916
- 612
Mi mwenyewe kama wewe huu mwaka wa 5 sijawahi kupaka mafutaMimi usafiri wangu miguu, nikipakaa mafuta ya mgando na hili jua la Dar nahisi kama naungua halafu nakuwa mwekundu. Nikipakaa lotion naloa majasho vibaya sana.