Uwe na adabu wewe, umeniudhi kweli!
Umetuvunjia adabu bana unajua kwa kauli yako utasababishaAisee tuheshimiane...
jamani hii ni kweli kabisaaaa, lkn cha ajabu ndani hawezi, (hakuridhishi) ila utakuta anamtaka mwanamke wa nje sasa mi hapo huwa nashindwa kuelewa iwapo ndani tu kimoja kalala, sasa huyo mwingine tena wa nini?
Umetuvunjia adabu bana unajua kwa kauli yako utasababisha
tunyooshewe vidole huku mtaani, sisi wengine ni vidume wa
mbegu ingawa hatutaki kujitangaza
I wish all ladies wangepita hapa waone haya maneno kuntu..............................
pamoja na sababu nyingi zilizotolewa hapa.........................
Hii comment ni muhimu mno wakaijua hawa dada zetu!wachawi ni wao wenyewe..................................
Kweli hili tatizo kila mtu ajangilie kwa nafsi yake wanaume hatutaki kuambiwa ukweli japo inauma hili tatizo lipo na linaelekea kuwasugu badala ya kutafuta suluhu tunaishia kuwalaumu wanawake, ohoo ana K kubwa aniridhish na mengine mengi tu. MBAAZI IKIKOSA MAUA HUSINGIZIA JUA . Pls men tuache kusingizia wanawake kila kitu.
Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.
MadameX, tafadhali naomba urekebishe usemi wako. Mbona mimi naendeleza mila kama kawa? Try me ndo uje na maneno hayo, lol!
Sina cha kuongeza wenye mapungufu wanajijua, wakiamua kujiaminisha hawana, kimpango wao. Wakiamisha lawama, inawasaidia kidogo lkn haiondoi tatizo, wakiamua kufuata ushauri wa watu humu ndani bado ni uamuzi wao.
Lkn kitu kingine labda ambacho hakijasemwa ni kuwa wazi na kushare tatizo lako kama unalo na mwenzi wako kuliko kusema ngoja nikajaribu kungine (nje) ambapo ndipo mnapojiaibisha zaidi; kwani kuna uwezekano mkubwa wakawatangaza na kuonekana kituko. Mkeo hawezi kutoa mapungufu yenu nje, lkn hawara will be happy kusema jinsi gani ulivyo na kwamba anachopata toka kwako ni pesa tu.
Mwisho, wewe mwanaume unajijua wewe tu; hivyo jisemee wewe. Mimi mwanamke ninaweza wajua wanaume hata 7, hivyo naweza semea wanaume. Lkn pia as mwanamke najijua mimi tu na hivyo naweza with confidence jisemea mwenyewe, na wewe mwanaume unatujua say wanawake 6 na hivyo unaweza kutusemea au kutucompare wanawake.
Don't force me to change what I believe, its freedom of speach anyway. Thank you for the offer but I am not interested. LoL
Halafu usisikie ya kuambiwa...uhondo wa ngoma uingie ucheze ati