Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

Teh teh teh,Nlikuwa nae huyo ni hatar,Nlikua nae UDBS pale alinichezea mchezo mpk nlikuwa nackia moto afu hachok huyo ikafikia k inajamba!

usiseme sana...wengine wanachukua wala barger,teh teh teh
 
Ulivyoninyanyasia shosti wangu, unafikiri nimesahau. Halafu wewe unapenda kubebembelezwa nami pia napenda bembelezwa unaona shida hiyo! In as much as natamani kuingia mwenyewe kuicheza ila kuitesekea akuu! LOL

Basi nimejifunza kubembeleza...madam, so sweet....njoo ucheze ngoma ili upate uhondo ati...teh teh teh....Kaunga, tatizo langu mi sijui kuigiza...ndo nimeanza hiyo kozi bagamoyo chuo cha sanaa kila weekend. Eros asijari ntaanza kummbeleza
 
Teh teh teh,Nlikuwa nae huyo ni hatar,Nlikua nae UDBS pale alinichezea mchezo mpk nlikuwa nackia moto afu hachok huyo ikafikia k inajamba!
 
Basi nimejifunza kubembeleza...madam, so sweet....njoo ucheze ngoma ili upate uhondo ati...teh teh teh....Kaunga, tatizo langu mi sijui kuigiza...ndo nimeanza hiyo kozi bagamoyo chuo cha sanaa kila weekend. Eros asijari ntaanza kummbeleza

Kweli inabidi ujifunze aisee, ila si kitu ya acting zaidi ni kutoficha hisia zako tu!
Yaani kama ni ubembelezaji wa kisukuma nao can be sexy kama wakizaramo au wakispanish ingawa wako tofauti.
 
Kweli inabidi ujifunze aisee, ila si kitu ya acting zaidi ni kutoficha hisia zako tu!
Yaani kama ni ubembelezaji wa kisukuma nao can be sexy kama wakizaramo au wakispanish ingawa wako tofauti.

Wa kizaramo ndo wenyewe...I love their culture
 
Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.


hapa ulikosa neno la kuandika? umepotoka mkuu na sio vizuri kutoa maneno yasiyo na staha mbele ya member humu ndani
 
Mimi naona sababu ya msingi inayofanya vijana wa sikuhizi wafifanye vizuri kitandani..nimfumo wa maisha.
Maisha yamekuwa ya presha na mawazo ya kupata ndoto kubwa. Wanawake wenyewe wanakuwa very demading ( mara anahitaji hiki mara kile) inafanya akili ya mwanamme isi tulie na kufikiria hilo jambo hivyo hufanya tu kutimiza wajibu. Ikumbwe kuwa hicho kitendo kinaongozwa na ubongo ( akili) hivyo isipotulia; performance ikakuwa chini...
Hiyo michango ya mtoa mada inakuwa nyongeza tu

sioni mbaya kukubaliana na ww asilimia zote
 
Haaahaaa! Na haujavunja kifungu chochote cha katiba...ila I wonder unakutana na wanaume wa aina gani ambao hawajui kufanya yale wanayotakiwa kufanya. Jaribu sisi kuku wa kienyeji utasahau shida zote.

Huwa sipendi watu wanaopenda kujipandisha chati wenyewe 🙂
 
isssue kubwa inayopelekea haya yote ni mitindo ya maisha yetu hasa hasa katika ulaji,huuu mpango wa chips mayai siyo kabisa,wazungu wanatuuuua ,wanataka waje watuuuuzie viagra na wengine kupoteza uwezo wa kwenda mshindo mara 3 au 5...kiukweli ukitaka kuondokana na tatizo hili dawa ni moja tu.kula chakula cha nafaka zisizokobolewa.Nazunhumza haya si kwa kujikweza ama kiujisifia,ila mimi ni mfuasi mkubwa wa dona hapa kwetu, na ndiyo ugali ambao mamamngu anatumia muda mwingi kuandaaa unga wake.
hata mtaaani watu wameshaaanza kuuukubali..hii ndiyo dawahalisi.
 
Ni kweli hali hii ipo, mimi binafsi nimeishuhudia katika miaka 7 ndani ya ndoa, ni goli moja tuu, hakuna la pili wala la tatu. Jamaa mazoezi anashiriki kula sometime anakula hadi karoti za kuchemsha tuu na brocoli, lakini ngoma ni ile ile. Nahisi ni vile ambavyo wanaume wengi wanazoea wakiwa watoto vile vigoli vya kujiiba iba katika kombolela na michezo mingine, so hadi mtu anakua anakuwa na misuli hewa tuu. Akisha pata bao basi mwanamke kama ulikuwa unaanza kuja ujuwe ndo imetoka hoyoo ikirudi pancha!



aisee pole sana miaka 7
 
Huwa sipendi watu wanaopenda kujipandisha chati wenyewe 🙂

Sasa usipojipigia debe, mpaka Kibonde aje kukupigia debe itachukua muda mrefu kiasi gani? Anyway, ndio maana dunia ina balance mambo...hata mimi kuna mambo siyapendi ila wengine wanayapenda....ndio yale yale ya kukubali kutofautiana ili mradi hatuvunji katiba,lol!
 
Umenikumbusha kitu kuna mzee mmoja mlinzi ofisini kwetu kuna siku alituvunja mbavu alikuwa ''anawapaka wanaume na vijana hawajui kabisa kushughulikia wanawake enzi zake mwanamke akitoka nyumba ya wageni na kama alikuwa na njemba ilikuwa inajulikana tu!kwanza mwendo,af full kuchoka,macho yamemuingia ndaniiiii!siku hizi mwanamke anatoka kwenye mchakato anarudi kazini,kama yupo home atafua,atadeki,atapika,atamwagilia maua,atasugua kuta,na ukirudi jioni hiyo unapewa mchakato bila matatizo'' kwa hiyo ndugu yangu hilo swala kweli lipo lakini linasababishwa na vitu ving sana,tena sana kuliko unavoweza kufikiria!wanaume wamezidi kula vyakula vyepesi we fikiria mtu asbh unakunywa chai kajikoombe kadooogo na mikahawa kibao unajitia micaffein tu,sausage 3 na piece ya mkate,mchana unakula chipsi mayai na mishkaki mitano,jioni kabla hujafika kwa mkeo unapiga bia zako nne ,ukifika kwa mkewo na wanawake siku hizi wasivojua kupika na mivyakula yao ya supermarket hii unakuta kakupikia macaroni na nyama ya kusaga na mijuice ya boksi,af mbya zaidi kwasababu umechelewa tht food has to be warmed in a microwave.Ukifika chumbani hicho chumba kama ndo una mtoto pampers zimejaa mpka kwenye dressing table,ye mwenyewe kashajilalia kwisha kazi.unajaribu kuonyesha upo interested anakujibu na we bwana ushaanza,ah haya chukua mi nataka kulala,basi unaamua kuchkua ukiwa ndo unachulkua unakuta daaah!maeneo yako hovyo ile mbaya yan hakujasafishwa wala nini,dah!mzee unapiga hivo hivo,ukiwa unaendelea mtu wala hatoi ushirikiano hapo kuna mawili hukumuandaaa,au umemkera umechelewa,au unambore.SASA UKICHANGANYA YOTE HAYO HIZO NGUVU ZINATOKA WAPI JAMANI!


Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku basi ya pili inaweza kurudiwa saa 12 asubuhi.

Tatizo kubwa ni kwamba wanaume wengi huwaandaa wake zao kwa muda mchache au hawajui kabisa jinsi ya kuwaandaa wake zao kwa ajili ya tendo la ndoa, wengi wanaparamia kama vile wanavyoparamia baiskeli, pia wanaume hao hawajui kufuata hatua za kujizuia kuweza kuwahi 'kufikisha mzigo melini' na hatimaye kuwafanya wawe wa kwanza kufikisha mzigo na kushindwa kuwaridhisha wake zao.

Inadaiwa kuwa tatizo hili linatokana na wanaume wengi kuacha kula vyakula vya asili vinavyoweza kuwafanya wawe na nguvu muda wote, pia inadaiwa kuwa wanaume wengi hawafanyi mazoezi ambayo yangeweza kuwafanya wawe vizuri kitandani.

Wengi wa wanaume wanapokwenda kwa wataalam wa madawa ya asili wanakuwa hawajui tatizo lao hasa, ndio maana wapo wanaume wanaokimbilia kwenda kukuza ukubwa wa maumbile kwa kuamini kuwa majogoo yao yakiwa makubwa wanaweza kuwaridhisha wake zao, kitu ambacho ni uongo mkubwa.

Hawajui kuwa hata kama siraha zao ni ndogo wanaweza kuwafanya wake zao watosheke kwa kuwafanyia utundu na kujua jinsi ya kujizuia ili wasiwahishe mzigo bandarini kabla ya wake zao, wanashindwa kuwafanya wake zao wawahi kufikisha mzigo kabla yao.

Tatizo hili limesababisha wanaume wengi kudharauliwa na wake zao hata ndoa nyingi kuvunjika.
 
Back
Top Bottom