Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

Attachments

  • IMG-20240101-WA0023.jpg
    IMG-20240101-WA0023.jpg
    95.9 KB · Views: 38
Kwa sababu nanii zao Zinakuanga zimetight alafu wapo attractive kimtindo kwa ile inaitwanga curvy, alafu pia maswala ya genetics yaani tumerithi kutoka kwa mababu they used to appreciate kwa hiyo sometime inakuanga haina sababu ila tu ndivyo society yetu ilivyo toka back in years!
 
Makalio makubwa ni sehemu ya utambulisho wa features au maumbile ya kike. Na sio tu makalio, bali kuna muundo wa mwili yaani matiti, mapaja, tumbo, mabega, sura, macho, mikono, etc.


Nikuulize swali, wewe kama mwanaume ukikutana na mwanaume mwenzako ana matako mazuri na mguu mzuri kiasi kwamba akivaa tight au skin jeans unahisi ni mwanamke huwa unakuwa comfortable nae?

My point.

Hauwezi vutiwa na kitu cha kufanana na wewe kijinsia maana itamaanisha wewe ni shoga. Ukiona unavutiwa na mwanamke mkavu, anamuonekano kama yule demu mnyanyua vyuma (loveness) basi jua una viashiria vya Bisexuality.

So kupenda mwanamke mwenye shepu au tako ni kwasababu ile ni feature ya kike na inakupa uhakika kuwa yule ni mwanamke na sio mwanaume mwenzako.
 
Back
Top Bottom