Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Kwamba mtu bapa haolewi?mh.pole ombamungu uwe ushaolewa tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mtu bapa haolewi?mh.pole ombamungu uwe ushaolewa tayari
Wewe ni jinsia gani?naona kuna wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio
Anaolewa,ila mume anakua anapiga nje.Kwamba mtu bapa haolewi?
Hakuna mwanaume anayejitambua anaoa makalio, bapa wanaolewa kwa wingi kuliko wale wa makalio bigKwamba mtu bapa haolewi?
Uzuri siku hizi wadada wanavaa sana tanfoam siku za harusi ila ningekwambia ujaribu kuzunguka zunguka uone mabibi harusikwatabu sanaa.na hatakiwi kuchagua mume yoyote anaekuja inabidi akubali tuu
Kwanini asimuoe ambaye tayari ana mzigo ili asipige nje?Anaolewa,ila mume anakua anapiga nje.
Tembo ni mzuri akiwa Mbugani tu mama. Huwezi kufuga tembo nyumbani acha tule vikuku tu.Ila wanaume huaga mna vituko sana. Unakuta mamsapu ndani flat screen lakini huko nje macho juu juu kwa waliofungashia.
Hahahha mpka nimeenda msearch, watu mnazingatia sana taaluma zenu.Mwanamke minofu ww.. Sio unakua unakalio dogo kama la mke wa prince William (Kate Middleton)
Kama ni video ile ni 4k ......Habari wanajukwaa, naona kuna wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa kuliko wale walionyimwa makalio, why!?
NakaziaMwanamke si lazima awe na matako makubwa. Muhimu awe na uwiano mzuri wa kiuno na hips.
Anaweza kuwa na matako makubwa ila kama uwiano ni mkubwa sana. Ataonekana kama pipa.
Mambo ya SodomaHabari wanajukwaa, naona kuna wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa kuliko wale walionyimwa makalio, why!?
we acha mashara makalio ndio kila kituHabari wanajukwaa, naona kuna wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa kuliko wale walionyimwa makalio, why!?
Ni kijana au ndio mchango wako[emoji1][emoji1] Acha Janja Janja mkuu[emoji28].Kijana hapa kaniambia eti yanaongeza apetite ya kula.