Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

Ila wanaume huaga mna vituko sana. Unakuta mamsapu ndani flat screen lakini huko nje macho juu juu kwa waliofungashia.
Kuna tofauti kati ya wife material na chombo cha starehe..........
 
Team portable mie. Hebu leo tu bless fasta foto halafu uitoe tuwarushe. Jipange pasaka mtoko[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]

Cc Lamomy
Huna lolote na we ni wa makalio tuπŸ˜…
We subiri mshana aanzishe Uzi tena hapa usiharibu Uzi wa watu
 
Si kweli wanaume wanatamani kuona na ukiona mtu anashoboka bas huyo haja wai kuonja ila wanene hapana
 
Haheeeee
 
Habari wanajukwaa,

Naona kuna wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa kuliko wale walionyimwa makalio, why!?
WANAUME WAMEAGIZWA KUISHI KWA AKILI NA WANAWAKE.
HIVYO KUCHAGUA KUWA NA MWANAMKE ASIYE NA AKILI NI AKILI PIA.

USISAHAU AKILI NA MATAKO HAVIKAI MWILI MMOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…