Wanaume wakiongea wanatumia sana maneno yanayoishiia au kuanza na Ha, ho nk kwa mfano hoya, halloo, hahaha nk, wanawake wao wanatumia maneno yanayoanza na eeeee, iiiiii, halafu wanaume wanaume tunaongea kwa kutumia mdomo wakati wanawake wao wanatumia pua kuongea. Teh teh teh.
Wewe ni tatizo nimecheka mno hii comment yako
Wakuu,
Kwa umri huu wa utu uzima wangu nimeshuhudia kuona wanaume ndio wanaoongoza kwa kunuka midomo. Asilimia kubwa ya wanawake hawanuki midomo. Mimi si mtaalamu wa mambo ya afya lakini ningependa kujua sababu.
Asanteni sana!
ss tunanuka midomo wao uchi.ni maumbile tuu mwanaume kunuka uchi ni ndoto ila mwanamke nikawaida na lazima
Lol akati hata nyie maumbile yenu yakipigwa na joto yanafuka harufu vilevile!!! ukizingatia hamtawaz baada ya kukojoa.....so ni vitone vya mkojo plus jasho.... Haifai!!!!
Sasa kama MArafiki na watu wakaribu unaokutana nao wote ni wanywa ulanzi unategemea nini?Tafiti ndio hiyo. Umri wangu unatosha kuwa ndio kipimo cha population sample yaani watu niliokutana nao wanatosha sana kupata sample ya kufanya huo utafiti.