Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kinachonuka ni mdomo au ni kinywa? Ufafanuzi tafadhari FaizaFoxy.Wakuu kwa umri huu wa utu uzima wangu nimeshuhudia kuona wanaume ndio wanaoongoza kwa kunuka midomo. Asilimia kubwa ya wanawake hawanuki midomo. Mimi si mtaalamu wa mambo ya afya lakini ningependa kujua sababu. Asanteni sana!
hata wanawake huwa wananuka sema huwa unashindwa kuisikia harufu kutokana na homoni inayoitwa libido, hii ikipanda hata mbuzi unaweza kusikia ananukia pafyum!
wanaume wengi kupiga mswaki ni shida
Inawezekana ni kwa sababu idadi kubwa ya wanaume si watu wa kujali sana hasa hivi vitu vidogo vidogo kama usafi wa kinywa n.k...
Mdomo ndio kinywa wakuu. Tuendelee kuchangia....