Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show.

Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini 150,000 aseh mpk nmepatwa na stroke ya ghafla. Nikajiuliza huyu anajua mfukon niko na shingp!!!!

Nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehemu nzuri zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.

Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo
 
FB_IMG_16471051908543950.jpg
usikute akiwekwa ndani mapishi yake hayo
 
Alikuwa na hesabu kali huyo
Itakuwa alipiga show ya kwanza palepale na imegharaamiwa na mwingine
So anatumia gharama ileile naawe ule mzigo ukilipa reception ataichukuliaa pale au anakwambiaa amelipiaa ili umrudishie taslim,ukijumlisha na ya kumpa atoke na kitita[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawezi kukupeleka sehemu anayojua huwezi kulipia.

Anajua akikuzoesha kumpandisha nyeunge kila siku atakuwa wa nyehunge miaka yote. Kumbe wengine unawapandishaga ndege yeye unamuona cheap anastahili nyehunge.

Anyway. Kama hiyo hela hauna ondoka ila kama unayo unataka umlaze vyumba vya bei rahisi shindwa na ulegee na ka dushe kako kasifanye kazi.

Nb.kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake. Binafsi huwezi nilaza chumba cha efu 10 wakati nina uwezo wa kujilipia chumba cha elfu 50 na nikalala mwenyewe.
 
Back
Top Bottom