Na sikutongozi tena nimeghairi.Mia hamsini hapo lazima anapakwe machupa kwa mgongo wa futa, anavua nguo nusu mara kitako mara kimo,, afu anapita msata mpaka chamwino.
If you don't get it, forget about it.
mpokeage tu ndio uwezo wetu ulikoishia, mtu hutoa zawadi kulingana na uwezo wakeMnazo zitaka nyie ndo huwa mnapewa Sasa nyie Sasa ni mwendo wa socks,Leso hamna nyingine?
Na nyie muwe Muna pokea zawadi za big ball halafu tuvumiliane.Wanawake acheni ubinafsi,uchoyo na roho mbayaa.mpokeage tu ndio uwezo wetu ulikoishia, mtu hutoa zawadi kulingana na uwezo wake
weeee, mjifunzage kutoa kulingana na uwezo wenu ili muwe na amani na furaha ya moyo,,,sisi huwa tunatoa kulingana na uwezo wetu na sio uchoyo, ubinafsi ama roho mbaya kama ulivyosema.Na nyie muwe Muna pokea zawadi za big ball halafu tuvumiliane.Wanawake acheni ubinafsi,uchoyo na roho mbayaa.
Mbona wanaume wanajitoa Kwa sababu yenu? Izo iphone,Mikoba, Laptops Sio kwamba ni uwezo wao Bali ni moyo TU wa kutoa.
Sio uwezo bali ni ubinafsi TU ndo unawazonga.Mwanamke hata uwe na milioni kujitoa Kwa mwanaume una ona so!Halafu kuna ile mwanaume akiwa na laki 4 ni ya nyote lakini mwanamke akiwa na laki 7 ni ya kwake tu.Huo ni ubinafsi,uchoyo uliyo kubuhuweeee, mjifunzage kutoa kulingana na uwezo wenu ili muwe na amani na furaha ya moyo,,,sisi huwa tunatoa kulingana na uwezo wetu na sio uchoyo, ubinafsi ama roho mbaya kama ulivyosema.
unatuwazia vibaya tu, unajua sisi tumeshazoea kupokea kila kila kitu so imekuwa kama desturi,,,mtuzoee tuSio uwezo bali ni ubinafsi TU ndo unawazonga.Mwanamke hata uwe na milioni kujitoa Kwa mwanaume una ona so!Halafu kuna ile mwanaume akiwa na laki 4 ni ya nyote lakini mwanamke akiwa na laki 7 ni ya kwake tu.Huo ni ubinafsi,uchoyo uliyo kubuhu
Hakuna mwanamke mwenye upendo wa kweli zaidi ya Mama mzazi.unatuwazia vibaya tu, unajua sisi tumeshazoea kupokea kila kila kitu so imekuwa kama desturi,,,mtuzoee tu
ila kama mnapendana hela ni za wote bhana, hao wanaosema yako yetu na yangu yangu ni wabinafsi na hawana upendo wa kweli
chezea upendo wa kweli weweeeeeeeeeee, hata hukumbuki kuwaza hilo neno yangu yangu bali yetu yetu
sio kweli jaman, mbona mimi upendo wangu ni wa kweli? upendo wa mama ni kitu kingine kabisaaa nakubali lakini pia kuna wanawake wenye upendo wa kweli kama mimiHakuna mwanamke mwenye upendo wa kweli zaidi ya Mama mzazi.
Wengine waigizaji tu kwa sababu kuna kitu flani kakiona kwa mwanaume.
#OVA#
Wazoefu kama mimi huwa tuna hotel zetu za kula mbususu yani unampeleka wewe unapoona kuna utulivu,sio yeye akupangie umpeleke wapi...madem sample hizo ni wale malimbukeniHivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show.
Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini 150,000 aseh mpk nmepatwa na stroke ya ghafla. Nikajiuliza huyu anajua mfukon niko na shingp!!!!
Nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehemu nzuri zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.
Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo
Kuhusu kopokea tunalijua hilo ndo maana sisi tuna wapa mkitakacho au tulicho nacho kiwe kidogo au kikubwa inshu ninayo zungumzia mimi ni kuhusu nyie kujitoa kwa wanaume wenu huwa hamna hiyo desturi licha ya kikubwa ambacho Mungu kawa bariki ndo hapo unakuta zawadi mnazo toa Kwa wanaume ZENU ni leso,socks,pen na ki notebook vitu ambavyo ni kama uchoyo tu na ubinafsi na roho mbayaa ZENU.unatuwazia vibaya tu, unajua sisi tumeshazoea kupokea kila kila kitu so imekuwa kama desturi,,,mtuzoee tu
ila kama mnapendana hela ni za wote bhana, hao wanaosema yako yetu na yangu yangu ni wabinafsi na hawana upendo wa kweli
chezea upendo wa kweli weweeeeeeeeeee, hata hukumbuki kuwaza hilo neno yangu yangu bali yetu yetu
nimekuelewa sana tu, asante tutalifanyia kaziKuhusu kopokea tunalijua hilo ndo maana sisi tuna wapa mkitakacho au tulicho nacho kiwe kidogo au kikubwa inshu ninayo zungumzia mimi ni kuhusu nyie kujitoa kwa wanaume wenu huwa hamna hiyo desturi licha ya kikubwa ambacho Mungu kawa bariki ndo hapo unakuta zawadi mnazo toa Kwa wanaume ZENU ni leso,socks,pen na ki notebook vitu ambavyo ni kama uchoyo tu na ubinafsi na roho mbayaa ZENU.
Ndo maana nikakwambia na nyie tukiwapa zawadi za big ball na Ice cream msiwe mnaleta dharau mpokee kama sisi TUNAVYO pokea hizo pen na Leso zenu
Mwanamke ana penda vitu kutoka Kwa mwanaume,sio kweli jaman, mbona mimi upendo wangu ni wa kweli? upendo wa mama ni kitu kingine kabisaaa nakubali lakini pia kuna wanawake wenye upendo wa kweli kama mimi
Ice cream na big boom ni zawadi ndiyo lakini munavyo jichukulia kwenye mind zenu Ice cream na big boom ni zawadi ambazo siyo hadhi yenu na kuanza kuzani mwanaume kakuchukulia wewe ni mtoto ndo maana kakupa zawadi izo,Bila hata ya kushukuru Kwa big boom uliyo pewa kama zawadi,dharau ndo kwanza Zina anzia hapo Kwa vile umemshusha thamani.Thamani yake hawezi kuwa ya pop corn au ice cream Wala big boom.nimekuelewa sana tu, asante tutalifanyia kazi
ila big boom na ice cream pia ni zawadi na tunazipenda
Kama una amini wewe una upendo wa dhati Kwa mwanaume uliye nae.sio kweli jaman, mbona mimi upendo wangu ni wa kweli? upendo wa mama ni kitu kingine kabisaaa nakubali lakini pia kuna wanawake wenye upendo wa kweli kama mimi
yote nitavumilia ila hili hapa "Mwanaume wako ana madeni makubwaa kiasi Kwamba mnataka kuuziwa Nyumba mnayoishi na hamjui pa kuanzia" lazima nijue chanzo chake otherwise upendo kwishne kabisaaaaaKama una amini wewe una upendo wa dhati Kwa mwanaume uliye nae.
Embu fikiria Kwa mafano, mwanaume wako kafukuzwa kazi yupo TU nyumbani,
Mwanaume wako kafirisika Yani Hana direction ya kuinuka Tena,
Mwanaume wako kapata ajari yeye ni WA kuhudumiwa muda wote
Mwanaume wako ana madeni makubwaa kiasi Kwamba mnataka kuuziwa Nyumba mnayoishi na hamjui pa kuanzia,
Mwanamke wako KAFUNGWA karibia maika 10+
Vipii hayo mapenzi yako ya dhati yatazidi kuwepo Kwa huyo mwanaume wako?
Madeni yameenda kwenye uwekezaji,uwekezaji umebuma na wewe unakuwa unalijua hilo vizuri na umeliona kabisa[emoji13].yote nitavumilia ila hili hapa "Mwanaume wako ana madeni makubwaa kiasi Kwamba mnataka kuuziwa Nyumba mnayoishi na hamjui pa kuanzia" lazima nijue chanzo chake otherwise upendo kwishne kabisaaaaa
vp upande wako utaweza? yaani kwa mwanamke wako utaweza yote hayo?
mimi kwenye mambo ya madeni halafu sijui zilikoenda kwa wkeli tutasameheana tu.
Sisi wanaume KUVUMILia ndo jadi yetu ndo maana unakuta mwanamke Yumo ndani hata miaka 12 tuna muhudumia TU kiroho safi,Ukifukizwa kazini tunahudumia TU una Baki kuwa mama wa nyumbani au kukutafutia nafasi sehemu nyingine,Ukipata ajari ukapata ulemavu tunahudumia TU mpaka kifo kitakapo tutenganisha.yote nitavumilia ila hili hapa "Mwanaume wako ana madeni makubwaa kiasi Kwamba mnataka kuuziwa Nyumba mnayoishi na hamjui pa kuanzia" lazima nijue chanzo chake otherwise upendo kwishne kabisaaaaa
vp upande wako utaweza? yaani kwa mwanamke wako utaweza yote hayo?
mimi kwenye mambo ya madeni halafu sijui zilikoenda kwa wkeli tutasameheana tu.
nikiwa najua wala hainipi shida, tutavumilianaMadeni yameenda kwenye uwekezaji,uwekezaji umebuma na wewe unakuwa unalijua hilo vizuri na umeliona kabisa[emoji13].
Hapo ndo kipimo chako Cha mapenzi Kwa mwanaume wako ndipo kinapo anzia.Wakati wa shida kubwa
weeeee, acha hizo mambo weweeeeeSisi wanaume KUVUMILia ndo jadi yetu ndo maana unakuta mwanamke Yumo ndani hata miaka 12 tuna muhudumia TU kiroho safi,Ukifukizwa kazini tunahudumia TU una Baki kuwa mama wa nyumbani au kukutafutia nafasi sehemu nyingine,Ukipata ajari ukapata ulemavu tunahudumia TU mpaka kifo kitakapo tutenganisha.
Ndo hata Mungu wanasema jinsia yake ni mwanaume,Kwa sababu matendo ya Mungu Yana fanana Sana na Wanaume wote duniani.