ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hahaha, mkimaliza unaulizwa hivi ada ya mtoto unamalizia lini? Stim zinakata zote unalala[emoji16][emoji16][emoji16]But Kwa hawa tuliowaweka ndani hahah experience inaonesha kila kitu huwa kishatolewa ni mwendo wa kukandana direct tuu kisha kuanza kudiscuss bili za umeme
Sent using Jamii Forums mobile app