Kwanini wanawake hupenda kuvaa pete kuliko wanaume?

Kwanini wanawake hupenda kuvaa pete kuliko wanaume?

Mimi nipo kwenye asilimia chache, sivai Pete, bangili wala sijatoga masikio nipo km nilivyozaliwa tokea tumboni kwa mama lbd bikira tu hiyo sinayo na mayai kadhaa ya uzazi yalishatolewa kwa safari za kila mwezi na kutengeneza binadamu
Sihusiki hapa

Hayo mayai yaliyobaki yapo mangapi?
 
labda huko uswahilini kwenu ila mimi naonaga asilimia kubwa ni ME huvaa tena ni mijipete haswaaa sio pete.

mara nyingi huwa ni rangi ya silva kubwaaaaa km kofia ya mama rwakatare.
 
Yap nasuka kama kawaida lkn sijawahi jitwisha weaving

Hakuna kitu kinaniboa kama wigi aisee.

Moja ya ugonjwa wangu ni kuchezea nywele, sasa ukishatupia wigi umenimaliza, na unakuta kuna kamba sijui uzi wa kushonea basi tabu tupu.

Ni bora hata uwe kipara kabisa kabisa aisee kuliko wigi.
 
Yakimaliza muda mrefu yananuka hayooo
 
Back
Top Bottom