Kwanini wanawake hupenda kuvaa pete kuliko wanaume?

Kwanini wanawake hupenda kuvaa pete kuliko wanaume?

Pete inapendeza ikivaliwa.

Binafsi si mwanamke lakini navaa pete ndogo ya gold 24k purity.

Pia ninavaa mkufu wa anhk gold na jiwe la tanzanite (emirald cut). Very beautiful
 
Back
Top Bottom