Yaani nikujikubali tuHahaha! Kama uko comfortable na uamuzi wako hata wakishangaa yanihusu nini! You be just like `super natural lady`.
YaapHauna mambo mengi wala gharama Kabisa. Wife material au sio
Mimi nipo kwenye asilimia chache, sivai Pete, bangili wala sijatoga masikio nipo km nilivyozaliwa tokea tumboni kwa mama lbd bikira tu hiyo sinayo na mayai kadhaa ya uzazi yalishatolewa kwa safari za kila mwezi na kutengeneza binadamu
Sihusiki hapa
Yap nasuka kama kawaida lkn sijawahi jitwisha weavingUnasuka lakini!
Naamini Bado yapo mengi tuHayo mayai yaliyobaki yapo mangapi?
[emoji106]Yaap
Umemaliza mkuu.Fafanua kidogo Pete za namna gan
Kuna Pete za urembo na hizi ni murua kwa wanawake mwanaume utavaaje.
Kuna Pete za mahusiano
Kuna Pete za Majini
Sasa wanawake wanaongoza kuvaa Pete za namna IP?
Naamini Bado yapo mengi tu
Yap nasuka kama kawaida lkn sijawahi jitwisha weaving
kumbe wewe ni KE??[emoji3] [emoji3] [emoji3] umenifurahisha! Nilidhani nimebaki mwenyewe ambae sitaki mizigo mwilini ie kuvaa hereni, pete, shanga, wigi n.k
Yakimaliza muda mrefu yananuka hayoooHakuna kitu kinaniboa kama wigi aisee.
Moja ya ugonjwa wangu ni kuchezea nywele, sasa ukishatupia wigi umenimaliza, na unakuta kuna kamba sijui uzi wa kushonea basi tabu tupu.
Ni bora hata uwe kipara kabisa kabisa aisee kuliko wigi.
Yakimaliza muda mrefu yananuka hayooo
Wabishi sanaNoma sana, bora mngeshauriana kuacha kuyatumia.
Wabishi sana
Kazi tunayoNi kuwaacha na ubishi wao, sema kuna wengine no bora tu avae kuliko bila kuvaa.
Maana wengine hawana confidence ya kuwa natural.
Wanapoza nafsi. Kwao thaman inaongezeka akiwa na kidaniKwanini asilimia kubwa ya jinsi ya kikee,kupendelea kuvaa Pete kuliko wanaume.?!