Sababu ni wanaume kuwapiga huwa wanavumilia huku wakisubiri kikozi kazi cha watoto kikuwe hapo ndio vita huanza rasmi mara nyingi hawa wazee wanaviziwa wakiwa tungisijajua bado sababu ya mwanaume kupigwa na mkewe π€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£ ,...katika jambo linaloweza nifanya nikapindisha haki, ni kesi kama hizi,.... siwezi kuwa upande wa mwanaume hata kidogo, unless awe mgonjwa...Sababu ni wanaume kuwapiga huwa wanavumilia huku wakisubiri kikozi kazi cha watoto kikuwe hapo ndio vita huanza rasmi mara nyingi hawa wazee wanaviziwa wakiwa tungi
Mkuu unafkiri wanapenda ? Basi tuu inatokea siunajua life ni Karma!π€£π€£π€£π€£ ,...katika jambo linaloweza nifanya nikapindisha haki, ni kesi kama hizi,.... siwezi kuwa upande wa mwanaume hata kidogo, unless awe mgonjwa...
haiingiii akilini kwa kweli
mkuu sio kwa kupigwa na mwanamke kaka,...Mkuu unafkiri wanapenda ? Basi tuu inatokea siunajua life ni Karma!
Basi ukitoa lazma na ww upokee
Sawa mkuu ila mimi nilishaahuhudia mwenyekiti wangu wa kijiji ikila kichapo maana jamaa alikuwa mtata mama na wanae wakamwandalia kamati mzee alikula kipigo ,akawa mpolemkuu sio kwa kupigwa na mwanamke kaka,...
yani kama mwanamke ni udongo basi mwanaume ni chuma,....hata mwanamke angekuwa na umbo kubwa kunizidi mimi kwa kiasi gani,..kwa udhaifu wao sioni hata mahali pa kumpiga, nawaona kama mayai,...na inanifanya nishindwe kabisa kunyanyua mkono wangu kumpiga mwanamke,....na kwenye ndoa yangu sijawai,...
Sawa mzee afu ndani awe amekula buktaMwanamke anapigwa kwa doti ya kanga au kitenge. Na siyo kwa ngumi na mateke.
hapo ungemuongezea viboko huyo mwenyekiti,.......π€£ππSawa mkuu ila mimi nilishaahuhudia mwenyekiti wangu wa kijiji ikila kichapo maana jamaa alikuwa mtata mama na wanae wakamwandalia kamati mzee alikula kipigo ,akawa mpole
Blaza kuna wamama wamekomaa kwanza anaanzia shamba ,mara kuokota kuni bado hajaenda kugonga kokoto sasa wewee ukigeuka jioni anakuwa anakucheki maana hata kodi ya meza hujaacha afu unajiongelesha hapo ndio utajua chuma ni yupihapo ungemuongezea viboko huyo mwenyekiti,.......π€£ππ
kama mama watoto alishirikisha jeshi lake, hiyo ni kawaida sana kwa wamama kukimbilia kwa watoto,...
sasa kama mzee kuna mahali kwenye makezi ya watoto wako ulifeli, ni lazima upewe mshahara wako,....
ila kwa mwanaume inakubidi utembeze kichapo hadi kwa hilo jeshi lake analolitegemea,...
kaka kwani akiwa anakupiga anafunga milango au?,,π€£π€£π€£Blaza kuna wamama wamekomaa kwanza anaanzia shamba ,mara kuokota kuni bado hajaenda kugonga kokoto sasa wewee ukigeuka jioni anakuwa anakucheki maana hata kodi ya meza hujaacha afu unajiongelesha hapo ndio utajua chuma ni yupi