Kwanini wanawake mnatusumbua mkiwa wajawazito?

Kwanini wanawake mnatusumbua mkiwa wajawazito?

Aahhhhh kumbeee!Ndo haitokei sasa.Endelea kutamani na utamani aise!Kuliko maisha ya vile si bora tuwe tunawapiga bungurusi tu! Siku moja wangu katoka Shyinyanga town kaja Kahama. Kaniambia anataka nyama choma na anataka ya CCM tu(Shinyanga huko)!Alilala analia weeee kisa sijaenda kununua nyama Shinyanga! Jumapili namwambia rudi uende ukale nyama eti kama hatutakuwa wote mi sili.Jamani; acheni kusumbua wenzenu.Vinginevyo tutasafiri mwanzo mwisho tuwe tunarudi mkijifungua. Unaambiwa usijipakae mafuta,badae eti umepauka; kapake lotion flani. Ukipaka eti usinisogelee una harufu ya mawese. Ukiamka eti uaenda wapi na shuka langu! Na hilo ataka nijifunike mie. Hivi nyie wanawake, hii si laana yenu toka kwa Sir Godi kweli!? Yangu macho. Unadhani kwa stairi hii kama mtu ana kamchepuko utamuona tena? Nafika nakujulia hali, ukileta zako najifanya napokei simu natoka nduki.Mpaka akili itakapokukaa sawa.Mmezidi visa nyiee
Ngoja judgement day ndo utaaongelea vzr hy laana ambayo hata mama zetu na dada zako wanapitia
 
Sikiliza wimbo wa MAMA KIJACHO wa TUNDA MAN ili ujiandae kisaikolojia
 
Bado hajadai udongo.
Kuwa mpole mwanzo mgumu yana mwisho ayo
 
Mi WiFi yangu ni prego na hasumbui yuko normal kabisa had nampenda she is always happy hakasiriki I wish wanawake wote wangekuwa hivo
Kila ujauzito uko tofauti......

Ujauzito wangu wa kwanza nilikuwa ba kichefuchefu cha kutisha...chakula chochote lazima kisindikizwe na soseji...sasa ole wao wamalize soseji watazitafuta hata usiku wamanane

Ujauzito wa pili sijuumwa hata ukucha.... busy mpaka dakika ya mwisho...no kutapika no kichefuchefu nothing...nakula kila kitu kasoro mchanga

Kwa hiyo msiwahukumu hamjui anapitia nini
 
Wengi hawajui, mimi ni mwanaume lakini naweza kuona mnachopitia. Ujauzito sio kazi ndogo, wanasema ni nusu kifo. Chochote kinaweza kutokea. Mimi nawapongeza sana wanawake wote wenye ujasiri huo.
 
mimi nimechoka na Hali ya wife yaan ana mimba ya miezi 2 now. daa yaani nyumba imekua kero mara leo nataka kuku wa kienyeji, mara mbuzi, mara nisiende kazini anataka tuu tukae nae home ila hataki kabisa tushiriki tendo la utam nimechoka sasa upepo wake umehamia kwenye supu na machungwa.. nimechoka imebd nisafiri nitulize mawazo.. hivi ni Hali au samtime wanafanya maksudi?[/QUOTE

Sidhani kama anafanya makusudi inatokea sana, ila miezi 3 ya mwanzo tu, yani ikiwa changa, Nadhani akitimiza miezi 4 atakuwa sawa tu, atakuwa anakula vyakula vyote na pengien kitatokea anachokipenda Zaidi, hasira zitakuwepo ila sio zakupitiliza, kusafiri sio dawa unaweza mzidisha hasira, pressure juu na kumstress unaweza sababisha mimba kuharibika, mnyenyekee kifake fake kama unashida ya mtoto kweli, miezi 6 ijayo issue zote zitapita kipindi hiki kuwa mpole kwake.
 
Na kuhusu kumgegeda kwa miezi hii 3 ya mwanzo kwanza si vyema kwa usalama wa afya yake na kiumbe na kama utamgegeda basi iwe taratibu mnooooooooo, yani sioe ile ya vishindo upo uwezekano wa kuharib mimba kama mikiki mikii itakuwa ni mingi, SIO 100% Kama utaharib ila kiusalama mchunie mpaka atomize miezi 4 au 5, mimba ikiwa changa nadhani ni shida Zaidi. yani mwache tu kiukweli..
 
Mvumilie kipindi cha mpito....mie kipindi hicho nilikuwa nakula mihogo na samaki wa kukaanga hadi uck wa manane...
 
Na kuhusu kumgegeda kwa miezi hii 3 ya mwanzo kwanza si vyema kwa usalama wa afya yake na kiumbe na kama utamgegeda basi iwe taratibu mnooooooooo, yani sioe ile ya vishindo upo uwezekano wa kuharib mimba kama mikiki mikii itakuwa ni mingi, SIO 100% Kama utaharib ila kiusalama mchunie mpaka atomize miezi 4 au 5, mimba ikiwa changa nadhani ni shida Zaidi. yani mwache tu kiukweli..
yy mwenyewe ham ya kugegedwa hana yaani ni kero sana inaniuzi hii leo kuku mbuz mara supu daa mm nahc hii kujifanya bhana mbona mahouse gal wakipataga mimba hawadeki
 
Hata mi nakubali kwamba sometimes inaleta flavor hata kwenye mahusiano na mwenza wako lakini ikiwa too much; kila wakati unataka nikuletee maji ya kunywa eti kisa mjamzito huwezi kuinuka; wallah tena nitakuletea ndoo mzima ya maji na mabarafu juu hapo hapo ulipojipweteka.

Hahahahaha, umenifanya nicheke sana.
 
Wengi hawajui, mimi ni mwanaume lakini naweza kuona mnachopitia. Ujauzito sio kazi ndogo, wanasema ni nusu kifo. Chochote kinaweza kutokea. Mimi nawapongeza sana wanawake wote wenye ujasiri huo.

Asante kwa kutambua hilo kakangu.
 
Back
Top Bottom