Kwanini wanawake mnatusumbua mkiwa wajawazito?

Kwanini wanawake mnatusumbua mkiwa wajawazito?

mimi nilipenda samaki choma..na ndizi
ugali na kuku choma
mapapai uwii kila asubuhi 1 au 2
maji kwa wingi na pesa hahahaha


funny enought nimelea mimba yangu pekee

Samaki choma labda kipindi cha JK ingekuwa kipindi hiki cha Magu ungekimbiwa
 
Usiombe wife awe mjamzito afu mna kitoto cha kiume miaka 2-5 hasa 4 na tano hivi.Yeye na mama ake watakuwa maadui zako.

Watakwambia Mara midevu mibaya,Mara viatu vinanuka.Ukilala sebulen ujue hutaamshwa.
 
Mi nadhani kujiendekeza tu. Nina ujauzito wa miezi minne sijawahi kutapika, kutema mate, kuchagua vyakula wala kuonyesha mabadiliko yoyote yale. Wengi wanaodeka ni wale wanaobeba mimba wakiwa na wanaume ndani. Wakina sisi tunaotunza wenyewe huwezi kuta hayo madeko. Kwanza utamdekea nani sasa wakati.
 
Kila ujauzito uko tofauti......

Ujauzito wangu wa kwanza nilikuwa ba kichefuchefu cha kutisha...chakula chochote lazima kisindikizwe na soseji...sasa ole wao wamalize soseji watazitafuta hata usiku wamanane

Ujauzito wa pili sijuumwa hata ukucha.... busy mpaka dakika ya mwisho...no kutapika no kichefuchefu nothing...nakula kila kitu kasoro mchanga

Kwa hiyo msiwahukumu hamjui anapitia nini
Hyo kutapika kawaida watu wqkiwa ndeshi .... Huwa hawajiskii chochote kwangu mimba siugonjwa. Tatizo ni pale MTU akipata haumwi wala nini hata kuchukua maji yake kunywa anaagiza hata kuchemsha maji kwa umeme au gesi hawezi chah mi nimevi experience mno
 
Dah mi nashukuru wangu hajasumbua sana japo chamoto nilikipata, mara
Mlenda,
Ugali
Kae tu na mm hapo aniangaliee
Kitu kipo mbele yake ataniita uko nilipo labda nje nimletee, bafu choo ndani ila nimsindikize, ila swala lakutuma tuma ndio lilikuwa kero, nilikuwa namwekea maji chupa zake mbili pembeni ya kitanda ,ila ataniamsha usingizini nimpe maji, ataniita nje ananiambia baby naomba niletee chumvi, nikimuuliza ya nn nataka nilambe, nikawa naficha chumvi maana ilikuwa inaisha, ila nashukuru ni mtu mwenye huruma akishanituma sana hvyo baadae ananilaza miguuni pake ananibembeleza mpka najikuta nimelala ,I real love Her
 
Yupo mpangaji wetu alikuwa mjamzito bas alikuwa anapenda harufu ya jiko la mafuta ya taa (jiko la mchina) linapozimwa. Alikuwa nafanya kuliinamia kabsa ili avute moshi
 
kua uyaone si magorofa ila uyaone ya ulimwengu.. sijui wanawake ndiyo wapo tofauti au laa ila kiukweli suala la mwanamke kubeba ujauzito saa nyingine ni kiraha ndani ya nyumba kuna mwanamke akibeba mimba ndiyo inageuka kero kwa mume ndani ya nyumba sijui ni makusudi au nini mimba eti inachagua vyakula mimba inapenda chipsy kuku tuu. mara soseji, mara nyama ya kuku, mara ya mbuzi, kwa nini mimba nyingi hazichagui maharagwe au dagaa? mimba inafanya mwanamke hajisikii kupika shida yake apikiwe na mumewe tuu duu mradi vituko tuu.. mimba inapenda redbul, henken, sarvana, sentiana, nk mbona isipende denge ? hvi mbona mahouse gal wakibeba mimba hawachagui hivi vitu au mimba zipo tofauti? au ni kujifanya? au ndiyo kukomoana? hii imekua kero mbaya mimba nyingine eti inapenda kugegedwa kila siku..hizi mimba bhana wanatukomoa au ni kweli?
 
Inawezekana watoto tumboni wanajua maisha wanayopitia wazazi wao so wana behave according to the environment.

Mtoto anajua mama yake anasubri boss adondeshe tonge la ugali ndio mama ale, anaanzaje labda kutaka piza mama yake mimba imtoke. Watoto nao tumboni wanahisia alaaaaa.Hawawezi kutaka makubwa kuliko uwezo wa mama ama aliyemtundika mimba mama yake
 
Yeah hata ushikaji wake inaweza ikashika hata asipokua kwenye siku zake very easy kupata mimba ma house girls.
 
yaan mimba unafanyiwa visa utasema alilazimshwa kuibeba khaa.
 
Back
Top Bottom