Kwanini wanawake mnatusumbua mkiwa wajawazito?

Siku nyingine uombe akubebeshe wewe then utuletee mrejesho
 
Ngoja judgement day ndo utaaongelea vzr hy laana ambayo hata mama zetu na dada zako wanapitia
Dah mi nashukuru wangu hajasumbua sana japo chamoto nilikipata, mara
Mlenda,
Ugali
Kae tu na mm hapo aniangaliee
Kitu kipo mbele yake ataniita uko nilipo labda nje nimletee, bafu choo ndani ila nimsindikize, ila swala lakutuma tuma ndio lilikuwa kero, nilikuwa namwekea maji chupa zake mbili pembeni ya kitanda ,ila ataniamsha usingizini nimpe maji, ataniita nje ananiambia baby naomba niletee chumvi, nikimuuliza ya nn nataka nilambe, nikawa naficha chumvi maana ilikuwa inaisha, ila nashukuru ni mtu mwenye huruma akishanituma sana hvyo baadae ananilaza miguuni pake ananibembeleza mpka najikuta nimelala ,I real love Her
mimi hii maada imenigusa sanaa...

mwenzenu napigwa mateke usiku kitandani nafukuzwa eti nilale chini na kitanda n 6*6 analala kwa kujitandaza..mbaya zaidi mimba hyo haipendi wali ...ninakula ugali mwez wa 2 mfulululizo nimechoka

atakama ni upendo sawa ila daaah hapana
ikifika usiku usingizi kwake amnaa naamshwa tupige story namwambia nimechoka anajibu kama ctaki anaenda nje usiku wa manane kupunga upepo ...kwasababu hyo kiusalama wake lzma niamke tupige story huku kidume usingizi kilo 69

ameweka ratiba ya kumsuka mabutu usiku ,nkimpa helabya kusuka na saloon hataki ..

nko nataka kusafiri hata wiki hivi wapendwa nampenda mke wangu ila daa nachoka
 
Upo sahihi Chief safiri kubadilisha mazingira. I support you. Ila nenda na mkeo
 
Ungejua joto analolisikia. Anapojitandaza kitandani na kumpepea ungempepea!!!
mimi hii maada imenigusa sanaa...

mwenzenu napigwa mateke usiku kitandani nafukuzwa eti nilale chini na kitanda n 6*6 analala kwa kujitandaza..mbaya zaidi mimba hyo haipendi wali ...ninakula ugali mwez wa 2 mfulululizo nimechoka

atakama ni upendo sawa ila daaah hapana
ikifika usiku usingizi kwake amnaa naamshwa tupige story namwambia nimechoka anajibu kama ctaki anaenda nje usiku wa manane kupunga upepo ...kwasababu hyo kiusalama wake lzma niamke tupige story huku kidume usingizi kilo 69

ameweka ratiba ya kumsuka mabutu usiku ,nkimpa helabya kusuka na saloon hataki ..

nko nataka kusafiri hata wiki hivi wapendwa nampenda mke wangu ila daa nachoka
 
Aisee huu uzi umenikumbusha machungu, ndoa ilkua kama jela maniner aisee acha kabisa, no mbususu na mtu kanuna kama bumunda kila saa
 
Usiombe wife awe mjamzito afu mna kitoto cha kiume miaka 2-5 hasa 4 na tano hivi.Yeye na mama ake watakuwa maadui zako.

Watakwambia Mara midevu mibaya,Mara viatu vinanuka.Ukilala sebulen ujue hutaamshwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana.
 
Back
Top Bottom