Kwanini wanawake mnatusumbua mkiwa wajawazito?

Ngoja judgement day ndo utaaongelea vzr hy laana ambayo hata mama zetu na dada zako wanapitia
 
Sikiliza wimbo wa MAMA KIJACHO wa TUNDA MAN ili ujiandae kisaikolojia
 
Bado hajadai udongo.
Kuwa mpole mwanzo mgumu yana mwisho ayo
 
Mi WiFi yangu ni prego na hasumbui yuko normal kabisa had nampenda she is always happy hakasiriki I wish wanawake wote wangekuwa hivo
Kila ujauzito uko tofauti......

Ujauzito wangu wa kwanza nilikuwa ba kichefuchefu cha kutisha...chakula chochote lazima kisindikizwe na soseji...sasa ole wao wamalize soseji watazitafuta hata usiku wamanane

Ujauzito wa pili sijuumwa hata ukucha.... busy mpaka dakika ya mwisho...no kutapika no kichefuchefu nothing...nakula kila kitu kasoro mchanga

Kwa hiyo msiwahukumu hamjui anapitia nini
 
Wengi hawajui, mimi ni mwanaume lakini naweza kuona mnachopitia. Ujauzito sio kazi ndogo, wanasema ni nusu kifo. Chochote kinaweza kutokea. Mimi nawapongeza sana wanawake wote wenye ujasiri huo.
 
 
Na kuhusu kumgegeda kwa miezi hii 3 ya mwanzo kwanza si vyema kwa usalama wa afya yake na kiumbe na kama utamgegeda basi iwe taratibu mnooooooooo, yani sioe ile ya vishindo upo uwezekano wa kuharib mimba kama mikiki mikii itakuwa ni mingi, SIO 100% Kama utaharib ila kiusalama mchunie mpaka atomize miezi 4 au 5, mimba ikiwa changa nadhani ni shida Zaidi. yani mwache tu kiukweli..
 
Mvumilie kipindi cha mpito....mie kipindi hicho nilikuwa nakula mihogo na samaki wa kukaanga hadi uck wa manane...
 
yy mwenyewe ham ya kugegedwa hana yaani ni kero sana inaniuzi hii leo kuku mbuz mara supu daa mm nahc hii kujifanya bhana mbona mahouse gal wakipataga mimba hawadeki
 

Hahahahaha, umenifanya nicheke sana.
 
Wengi hawajui, mimi ni mwanaume lakini naweza kuona mnachopitia. Ujauzito sio kazi ndogo, wanasema ni nusu kifo. Chochote kinaweza kutokea. Mimi nawapongeza sana wanawake wote wenye ujasiri huo.

Asante kwa kutambua hilo kakangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…