Kwanini wanawake mnatusumbua mkiwa wajawazito?

Siku nyingine uombe akubebeshe wewe then utuletee mrejesho
 
Ngoja judgement day ndo utaaongelea vzr hy laana ambayo hata mama zetu na dada zako wanapitia
mimi hii maada imenigusa sanaa...

mwenzenu napigwa mateke usiku kitandani nafukuzwa eti nilale chini na kitanda n 6*6 analala kwa kujitandaza..mbaya zaidi mimba hyo haipendi wali ...ninakula ugali mwez wa 2 mfulululizo nimechoka

atakama ni upendo sawa ila daaah hapana
ikifika usiku usingizi kwake amnaa naamshwa tupige story namwambia nimechoka anajibu kama ctaki anaenda nje usiku wa manane kupunga upepo ...kwasababu hyo kiusalama wake lzma niamke tupige story huku kidume usingizi kilo 69

ameweka ratiba ya kumsuka mabutu usiku ,nkimpa helabya kusuka na saloon hataki ..

nko nataka kusafiri hata wiki hivi wapendwa nampenda mke wangu ila daa nachoka
 
Upo sahihi Chief safiri kubadilisha mazingira. I support you. Ila nenda na mkeo
 
Ungejua joto analolisikia. Anapojitandaza kitandani na kumpepea ungempepea!!!
 
Aisee huu uzi umenikumbusha machungu, ndoa ilkua kama jela maniner aisee acha kabisa, no mbususu na mtu kanuna kama bumunda kila saa
 
Usiombe wife awe mjamzito afu mna kitoto cha kiume miaka 2-5 hasa 4 na tano hivi.Yeye na mama ake watakuwa maadui zako.

Watakwambia Mara midevu mibaya,Mara viatu vinanuka.Ukilala sebulen ujue hutaamshwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…