Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Wanasaikolojia wengi wamekuwa wakisisitiza mwanamke hakuumbwa kutoa bali kupokea (upendo/zawadi/maelekezo/genye... etc).
Ipo hivyo na haiwezi kubadilika
Wanasaikolojia wapimwe mkojo. Huyo mwanamke ambaye hakuumbwa kutoa mbona anauza mchicha na kusuka watu na anamlisha mwanae vizuri tu na kumhudumia bila kushikiwa panga? 😀 😀 😀 Wapo wanaolea vibenten kabisa.

Si wangekaa barabarani wagaregare kulia kuwa hawajaumbwa kutoa?
 
Baba zetu walikuwa wanajua majukumu yao,hawa wa siku hizi kazi yao kutaka wanawake ndio wafanye kazi,si unaona mleta mada mwenyewe anashuhudia nchi nzima kaona wanawake mashambani,Sasa hao wanaume wanakuwa wapi muda huo Kama sio vilabuni?
Na bado atataka kazi za nyumbani afanye zote mwanamke kama kawaida.
Utakaposema tusaidiane, atasema hizo ni kazi za mwanamke wakati wote mmerudi mmechoka, wote mnacontribute kipato equally , ila majukumu ya nyumbani Kufua, kupika, watoto nk yote ni ya mama.
 
Woiiiiiiiih
Kwa raha zetuuu
Huku unaugulia miguu cha asubuhi huku unamuandaa mtu awahi job bado unaonekana huna unachofanya.

Tuchat kwakwelii😂😂😂😂
🤣🤣🤣Halafu Kama watoto!utasikia boxer yangu iko wapi?ukimpa boxer atauliza soksi zake,Mara atataka handkerchief jamani watoto wa mama wakweeeee
 
Mammmmamae umewapa vidonge vyao, hii ni kweli tupu
 
Wewe unashida kubwa kuliko kuelewa shida ya mwanamke. Kwani wao hawajui jinsi ya kuishi na mwanaume? Aliyekudanganya ni nan? Unaambiwa ni sababu ya kukosa upendo wa dhati, na ubinafsi. Na tamaa kuona nitazeekea hommie.

Sasa keshapata alichohitaji ni ndoa. Ataendelea ku hustle? Hebu jitambueni. Ndio mana mnakuja kujiua na kuua familia. Na hakuna kazi ngumu duniani kama kumfunza anaeyejidai kama mjinga ama anaekuchora. Wakat wewe unashusha hizo unazoziona points zako mwenzio anakuchora tu.

Maana hayuko hata serious na wewe wala hana cha kupoteza.
 
Amin mkuu hauwez kuoa mwanamke mbaya kisura ukawa na amani
 
Apandae uovu atavuna uharibifu. Umefanya kosa omba msamaha kwa kosa lako sasa wewe unataka pesa zako ndio zifukie kosa? Mbona havihusiani
Eti kisa amekuhudumia
Basi anajiachia tu kufanya kosa kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake kazi tunayo
 
Me bahati mbaya au nzuri ninaamini kwenye traditional roles za men and women.
Men as breadwinners na women wako entitled domestic roles
You are right, uwezo wa kufanya domestic roles ni main quality ya mwanamke wa kiafrika. House chores kama kupika, kufua, kufanya usafi wa mazingira, kulea. These are tied to women ila sasa cha ajabu sikuhizi most of you women are shunning from your roles.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…