Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

It takes a woman and a half to have man's attitude.
Kuna vitu ukivipinga kutoka kwa mwanamke ni kupingana na asili ya mwanamke.
Muishi nasi kwa akilii repeat ishi na mwanamke kwa akili.
Sasa unasisitiza kuishi na wanawake kwa akili kwanini?
1. Kwakua anaakili sana?
2.Kwakua anaakili kisoda?
Naomba kujua kwanza hapo ndio nitaendelea
 
Wewe ulipooa au ulipobalehe baba yako alikufundisha nini kuhusu kuitwa mume ?? Kuwa mume maana yake ni zaidi ya kuwa na jinsi ya kiume. Kwa nini mnapinga uanaume wenu?? Kwanini mnataka kuwa lege lege kuanza kulia lia eti wanawake wanawaachia majukumu ambayo kwayo ndio yanatimiza uanaume wenu?? Ukielewa hili basi mada itafungwa.
Hayo majukumu ya mume mnaya benchmark wapi, sisi binadamu ni wanyama je wanyama wengine wanafanya hivyo? Chukua mfano wa Simba, wao ndiyo on top of our food chain, simba mume ndiyo anabebeshwa mzigo huo au ni team work?
 
Hahahahahah unakuwa muhanga if you let shit in your life. Wengi tunaingia kwenye mahusiano bila kutanabaisha principles zetu mapema.

Wewe ndio amiri jeshi wa maisha yako, don't invite promiscous and selfish women in your lives. Lay down principles ambaye atafeli kumeet vigezo let go. You have to do this multiple times untill you get a person who matches with your puzzle.
Wewe Ni born town.....haya malalamiko yasingekuwepo Kama watu wangetumia hii mbinu yako
 
Sipo kwenye kampeni ya kataa ndoa ila uliyoyaongea ni 99% sahihi ila Mwenyezi Mungu alisema tuishi nao hivyo hivyo kwa akili.

-Naongezea mwanamke akiwa financially stable anawaza kuishi peke yake anaona ndoa inambana.
Hahahahah wengi akili zao huwatuma kuwa single maana wanakuwa na freedom ya kutunguliwa na yeyote wamtakae.
 
Hayo majukumu ya mume mnaya benchmark wapi, sisi binadamu ni wanyama je wanyama wengine wanafanya hivyo? Chukua mfano wa Simba, wao ndiyo on top of our food chain, simba mume ndiyo anabebeshwa mzigo huo au ni team work?
Simba anaenda kutafuta mawindo kwa ajili ya familia yake...akipata wanakula na familia
 
Hayo majukumu ya mume mnaya benchmark wapi, sisi binadamu ni wanyama je wanyama wengine wanafanya hivyo? Chukua mfano wa Simba, wao ndiyo on top of our food chain, simba mume ndiyo anabebeshwa mzigo huo au ni team work?
Kwani sisi Ni Simba?haya mbona humtolei mfano ndege?
 
....na hili ndo tatizo wanaume hatutaki kukubali....utegemezi wa mwanamke Kwa mwanaume haujaanza leo .....ni historical phenomena......
Nyakati zimebadilika ,saa hii tunakaa nao kwenye vikao vya bodi, hawakai tena nyumbani kupika chai ,ukitoka asbh nao wanatoka, wanazaa watoto ila hawalei,watoto wakiacha kunyonya ndo basi anaachiwa dada wa kazi
 
Back
Top Bottom