Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Hela ya mume tamu nyieeeeeeee
Hahahahah hata yeye aliniambia ni tamu kweri kweri kwahio nimpatiege misimbazi mara kwa mara ili ku boost furaha yake 🀣🀣🀣!

Uzuri sio kwamba ana njaa kwahio hata napompa nakuwa sina presha kwamba nahonga.
 
Hahahahah oya watoto wazuri kama nyie mnastahili kujengewa monument zenu JF
 
Mie gelofrend tuu akininyima mbususu napiga chini nashangaa hao wanaume uchwara wanaovumilia mke asiyetaka kugegedwa
 
Anajifanya mandazi yani kwamba haelewi chanzo🀣
 
Huu uzi niliuona saa 11 alfajiri nilipoamka..
Nkajisemea hapa leo ndio leo sema nkapotezea kwanza na nkajisemea wala sikoment muda huu ntaonekana mhh
Lakini nlijua tu leo lazima moto uwakeee sio kwa morning glory ile
 
Hahahahahah morning glory imegeuka morning invasion of 🚺
 
Huu uzi niliuona saa 11 alfajiri nilipoamka..
Nkajisemea hapa leo ndio leo sema nkapotezea kwanza na nkajisemea wala sikoment muda huu ntaonekana mhh
Lakini nlijua tu leo lazima moto uwakeee sio kwa morning glory ile
Patachimbika
 
Wanaume tupendeni tupeni hela tupendeze hilo ni jukumu lenu..na sisi tutafanya mengine vizuri tuu mbonaa..na ni fahari mwanaume kumpendezesha mkewe na familia..na mwanaume wala halimuumi..mbona kama nyie vijana siku hzi imekua nongwa?? Ni malalamiko tuu?...mm napenda nitunzwe na mume wangu na mm kuna mambo mengine nafanya pia kwa familia yangu..
 
Hahahahahah sema lile toto Kwini lipo soft sana hata mie ningeleta utata kwenye Talaka 🀣🀣🀣
 
Kama ni mke upo sahihi ila sio mtu awekeze kwa free agent
 
Hahahahahah sema lile toto Kwini lipo soft sana hata mie ningeleta utata kwenye Talaka 🀣🀣🀣
Hahah sasa namna ile ya kwenda na ukoo mzima kudai talaka hata awe mzurije ndo basi tena ashajichafua
 
Hahahahahah sema lile toto Kwini lipo soft sana hata mie ningeleta utata kwenye Talaka 🀣🀣🀣
Yah yuko vzr ni mrembo..mimi sinyimaagi sifa kwa wadada warembo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…