Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah hata yeye aliniambia ni tamu kweri kweri kwahio nimpatiege misimbazi mara kwa mara ili ku boost furaha yake 🤣🤣🤣!Hela ya mume tamu nyieeeeeeee
Uzuri sio kwamba ana njaa kwahio hata napompa nakuwa sina presha kwamba nahonga.