Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Dada wa kazi ndio anabeba mimba za watoto na kuwanyonyesha,au sio?
Hivi mnapata faida gani mnapoamua kutulisha mauchafu yenu ya Period? Mnapata faida gani mnapotuwekea kwenye chakula ule uchafu wa Period nyinyi wanawake? What do you get na ni ukichaa wa aina gani hadi mnafika kufanya kitu km hicho?
 
Hivi mnapata faida gani mnapoamua kutulisha mauchafu yenu ya Period? Mnapata faida gani mnapotuwekea kwenye chakula ule uchafu wa Period nyinyi wanawake? What do you get na ni ukichaa wa aina gani hadi mnafika kufanya kitu km hicho?
That is serious, hii ni habari mpya kwangu
 
Me bahati mbaya au nzuri ninaamini kwenye traditional roles za men and women.
Men as breadwinners na women wako entitled domestic roles
Zama zimebadilika. Jaribu kuchunguza magari mazuri mjini nani wanayamiliki. Ukipata jibu ndio utajua siku hizi we both are bread winners
 
Nilichelewa hii thread


Ila mwanamke mwenye kabiadhara kake na visenti senti huezi mkuta na hivi vijitabia
U
tuambie na sample yako sio una generalize

.afu tumechoka thread zako za kuponda wanawake, what your going thru abt woman may GOD heal you uachane na hii TRAUMA
 
Mwanaume akipata Pesa anawaza Family yake ila Mwanamke akipata Pesa anawaza Sasa anaweza kuwa Single.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hii comment ina ukweli sana,nimeona wanawake kama wawili walikuwa wanaishi vema na familia zao ila baada ya kupata kazi na kuwa na vijisent daah wamekuwa jeuri sana Kwa washikaji,mpaka jamaa yangu mmoja anataka kumpiga chini kabisa, inasikitisha sana
 
Zama zimebadilika. Jaribu kuchunguza magari mazuri mjini nani wanayamiliki. Ukipata jibu ndio utajua siku hizi we both are bread winners
Hakuna mwanaume anaweza kushindana na mwanamke hasa kwenye vitu kama hivi cos nyie mnaweza mkanunuliwa tu baada hata ya kujitoa utu wenu...........magari unayoyaona wanaendesha mjini wengi wameyapata Kwa maumivu na si jasho
 
kama hizi



 
Kwa hiyo tuoe single mothers?
Ukipenda oa single mother. Lakini ujumbe wangu hapa ni kuwa oa mwanamke mwenye akili. Usioe pungasese linalotafuta uchumi kwako akatajirishe kwao. Oa mwanamke anayekujali hata kama huna.

Oa mwanamke ambaye wazazi na nduguzo atawaelewa hasa wakati wa shida. Siyo mamako amelazwa anasema nywele zimefumka nipe hela nikasuke.

Oa mwanamke ambaye siku mkikosa msosi ndani hatapiga simu au kwenda kwao na kwa mashosti kukutangaza. Badala yake atakwambia mume wangu, akiba yangu hii hapa tutatue tatizo.

Acheni kuangalia uzuri wa maumbo na ukubwa wa makalio tu. Kuna siku yatapungua hayo.

Sasa hao mabikira wenye akili kama hizi ni wachache kwa kuwa umri wao ni mdogo na hawajakumbana na changamoto za maisha.

Oeni wenye umri angalau anaweza kujitambua na kujisimamia. Humo wamo na masingle mother mnaowadharau kila uchao.

Na ninyi vidume msipende kujionesha mna uwezo kiuchumi mnawatafuta wenza. Onesheni uhalisia wa maisha yenu ili wenye tamaa wawakatae na wenye nia wawakubali.

Ndoa ya mke na mume na iheshimiwe na kila mtu.
 
Naomba kujua wajameni nyie wanaume wa humu ili niachane na hii mada...mnaongelea wake zenu au michepuko yenu??
Me sijawahi kuwaelewa..
maana huku duani tunaona kabisa our married friends and sisters hawarudi makwao mikono tupu.

Sasa hao wanaolalamikiwa sijui ni wa sayari gani.
 
Alimlea kwa pesa. Ndo ile baby ukiwa na shida yoyote usisite kun call.
 
Me sijawahi kuwaelewa..
maana huku duani tunaona kabisa our married friends and sisters hawarudi makwao mikono tupu.

Sasa hao wanaolalamikiwa sijui ni wa sayari gani.
Hao ni single mothers, waume walishakimbia, wahoji vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…