Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Demu au Mke HASOMESHWI na Boy Friend/Mume bali ni jukumu la Wazazi.
 
Unajua hii kitu ipo hadi kwa wanyama, tazama simba. Anakuwa na mademu kama sita wao wanakwenda kuwinda wanaleta yeye anakula kidali anawaacha waendelee kule anaenda kulala akipumzika.

Wakija sijui fisi, sijui nyani mwamba ndio anaamka kuja kuonyesha uwezo wake. Yeye kazi yake ni kuwat*mba na kulala hadi pale anapohitajika kuwinda mnyama mkubwa kama Nyati ambao masimba jike hawezi hiyo kazi labda wawe zaidi ya kumi. Ila Nyati m'moja simba dume m'moja anamuangusha bila shida na kumtuliza huku masimba jike wakiwatawanya hao manyati wengine.
 
Kazi zote za nyumbani
Kwahiyo lazima tusaidiane

Sina dada wa kazi na simuhitaji maana wote wawili kati yetu hakuna mlemavu.
We hatari, ila naona kama ka wivu fulani hivi, unadhani mwamba atapiga dada wa kazi ki-maskhiara
 
Kuna shida mahali nawaambia...huu upepo sio wa bure bure...mada zimekua nyingi...ni kwamba wanaume ule moyo wa upambanaji kwa ajili ya maisha umeisha?
Agenda kuu za vikao vya feminism miaka ya 1972, 1995 na 2010 nchini China unadhani hazikuwa na lengo la kuua mfumo dume ili kuleta athari katika ndoa takatifu? Jiongeze bhana.
 
Muda mwingine ni bora mwanaume aondoke amuache mwanamke na watoto kwenye nyumba maana akiendelea kubaki kinachofuata ni kumlamba makofi na vipigo vya kila siku ambavyo kimsingi ni mbaya zaidi watoto kuona.

Kuna wanawake utajitahidi kuwa mkimya atakuchokonoa kwa kila namna hadi siku umfyatukie na kumtolea hasira kwa kipigo cha maana.

Utajitahidi kumkwepa kwa kuwahi kuondoka asubuhi na mapema kabla hajaanza kufungua mdogo wake na ukitoka kwenye mizunguko yako utapitia Bar,pub au kijiweni ili upotezee muda uende ukute ameshalala ndipo ufike uoge na kulala zako ili kumkwepa.

Mimi huu upuuzi siwezi kukaa nao. Mambo ya kusema nyumba na vilivyopo ndani umemtafutia mwanamke hayo mambo ni ya kiwaki. Mimi nataka niamke kwenye chumba changu kwa amani na utulivu kwa kuamshwa na sauti za ndege na vipepeo asubuhi wakirukaruka kwa furaha kwenye miti sio naamsha na mtu kisirani halafu ile naamka anaanza nisomea list ya matatizo yake kwakweli hii kwangu siwezi ruhusu.

Nataka niamke asubuhi na utulivu wangu mwingi, nasimama kutoka kitandani huku nimedindisha dudu la yuyu, kabla ya yote najinyoosha huku nikisindikiza huo mnyoosho na shuzi moja zito balaa. Kisha naelekea jikoni nipate kikombe cha kahawa yaliyochanganywa na maziwa mazito kisha narejea zangu chumbani straight washroom naenda kukaa kwenye choo nashusha zangu mzigo taratibu huku nikiwa naperuzi mtandaoni nikisoma habari mbali mbali kwa muda usiopungua nusu saa.

Kisha najimwagia maji yangu navaa flana yangu ya nyumbani na tracksuit pants naenda jikoni kujiandalia breakfast [emoji1642][emoji505] kisha nakwenda kuketi sebuleni natazama habari DSTV taratibu nikitafuna breakfast yangu then mdogo mdogo nikimaliza naenda vaa nakwenda sasa huko Duniani kufatuta pesa ilipojificha.

Sasa aje mwanamke aanze kunivurugia huu utaratibu tutakosana. Aidha achague kuheshimu huu utaratibu na kunitafutia namba bora ya kufanya nizidi kupapenda hapo ndani pamoja na yeye akiwapo au apeleke huo usumbufu wake pahala kwingineko mimi upuuzi sipendi.
 
Sasa kumbe umeona kina mama mashambani mbona bado walalamika wanawake Ni wabinafsi?Unataka wafanyaje Sasa ujue kwamba Wanawake Wana mzigo mzito kwenye familia?Ukifika muda wa mavuno mwanaume ndio anachukua mazao kuelekea sokoni
Sasa ulitaka avune akayamwage jalalani?
 
Hawa watu wanaukaribu sana na Shetani
 
Tunapozungumzia tatizo huwa hatubalance na sehemu ambapo hakuna tatizo. Kwa mfano, wee saa hii unaongelea wanawake Smart ambao kiuhalisia ni wachache sana compared to hawa wenye shida.
 
Naona unajaribu kutumia maneno yale yale yaliyotufikisha hapa kujadili huu mjadala. Ndugu ni ngumu sana kwa mtu wa mtazamo wako kuelewa shida ipo wapi.

Ipo hivi, wanawake wa sasa wamekuzwa kwa mafunzo ya kibinafsi sana na hawajaandaliwa kuwa wanandoa bali kuwa changamoto ya ndoa. Ndoa inataka utayari wa dhati na usiione kama mzigo.

Yaani kama vile wanavyotembea na makalio yao au matiti yao then akili au dhamira ya kuitii na kuiheshimu ndoa inabidi waibebe hivyo hivyo muda wote bila kupumzika.
 
Hivi yesu alikua na matamanio kweli ya wanawake kama unavo sema.
 
Hivi yesu alikua na matamanio kweli ya wanawake kama unavo sema.
Yesu alikua mtu kweli, of cause siyo kwa nia ovu, ila ana appreciate uzuri wa wadada wa Jerusalem
 
....na hili ndo tatizo wanaume hatutaki kukubali....utegemezi wa mwanamke Kwa mwanaume haujaanza leo .....ni historical phenomena......
Okay kama ni historical phenomena hebu nielezee haya yafuatayo;

Wanawake wa zamani walikuwa wanadai kununuliwa smartphone kiasi kwamba mwanaume akishindwa mwanamke anaweka mwili wake rehani aliwe ili anunuliwe simu?

Je, miaka ya nyuma wanawake walikuwa wanadanga?!

Je, miaka ya nyuma wanawake walikuwa wanalazimisha kupelekwa saloon kupaka zile pembejeo zao za urembo ikiwemo kuvaa fake hair?

Je, wanawake wa zamani walikuwa wanafanya kazi halafu mishahara wanaficha na hawataki kuulizwa chochote kuhusu mishahara yao kisha wanang'ang'ania kupewa mahitaji kutoka mshahara wa mwanaume?!

Nadhani kuna mengi hapa unapiga chenga.
 
Yaan limwanume na liboroo lake limekaa pale linasubira kula hela ya mwanamke[emoji848][emoji849][emoji849]...God forbid [emoji134]
 
Baba zetu walikuwa wanajua majukumu yao,hawa wa siku hizi kazi yao kutaka wanawake ndio wafanye kazi,si unaona mleta mada mwenyewe anashuhudia nchi nzima kaona wanawake mashambani,Sasa hao wanaume wanakuwa wapi muda huo Kama sio vilabuni?
Wanakuwa kwenye majukumu mengine, au pengine wapo hapo hapo shambani nao wanalima na wake zao. Naona unataka kutoka kwenye msingi wa hoja ya jamaa. Amesema swala ni wanawake kuwa mashambani wakifanya kazi za uzalishaji. Sijui umeelewa?
 
its more dangerous kuoa Tanzania, its like a mini death penalty. Mwisho utaumwa pressure, uta paralyse, kisukari, mgongo na sonona
True nothing good can be got in our local marriages its just basket of problem, its like self imposed slavery of man.........a void marriage if you can.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…