Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Mkuu, utapigwa tu mwisho wa siku, soma sababu zote saba, hauchomoi
Why are you being pessimistic?
Kama unaamini kupigwa ni lazima, why cant we come up na solution juu ya hili.?
Je ni jambo la ujasiri kukimbia matatizo?
Sisi wote tumezaliwa na mwanamke, na kwa kias kikubwa wengi waliofanikiwa kukulia kwenye familia zenye wazazi wote wawili ni watu ambao wanakua bora sana katika maisha yao.
Kwanini leo sisi tuwanyime vizazi vinavokuja hii asali jus because tumeshindwa kuhandle bad experiences zetu?
 
Mkuu, we must call a spade by its name. Kama hakuna chema hakuna chema.
 
Mkuu, we must call a spade by its name. Kama hakuna chema hakuna chema.
Sawa.. nakubali.
But if sisi kama wanaume we are so perfect,
Kwanin tusibadilike?
Mi nna wazo, instead ya kila siku kukomaa kukataa ndoa na kuwaponda wanawake,
Kwanini sasa tusigeuze gia na kuanza kuwaelekeza hawa hawa wanawake jinsi ya kuishi na sisi?
Maana smtyms tunawalaumu lakini yaweza kua either hawajui what we want, au pia sisi wenyewe tumekua reason ya haya yote.
Kila stori ina pande mbili
 
Me bahati mbaya au nzuri ninaamini kwenye traditional roles za men and women.
Men as breadwinners na women wako entitled domestic
Tena traditions and customs zetu role ya mwanamke ni kubwa kwenye kuzalisha mali. Babu zetu walikua wanaoa majembe, kigezo kilikua mwanamke sharti awe mchapa kazi, mlikua mnashindishwa shambani na kutunza mifugo huku wanaume tumenyoosha miguu tuna sip local brew
 
Hapana sio kwa society yangu mimi.
Traditionally mwanaume ndio mtafuta mkate hadi pale alipoharibu na kufanya hayo unayoyasema
 
My nigga, quick question, would you be okay if binti yako angefanyiwa hivi?
Lets emphasize, aolewe, awe jembe kwelikweli akikomaa, then mumewe awe amekaa ana sip local brew.
If that okay with you, then sina swali zaidi. U a lost cause.
If its not okay, then come up with a better solution rather than kupinga na kuponda.
 
You cannot teach an old dog new tricks
 
Mbona ata chumvi sijaweka?
Hapo unaposema wanawake hawapendi familia Ni chumvi,tunaona jinsi vile wanamme mnaongoza kukimbia familia na kutelekeza watoto wakati mama ndio anakuwa ameshiklia majukumu yote mvua iwe jua,
Halafu unasema ni zana potofu kufikiria mwanaume ndio bread winner,hebu refer tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu Nani Ni breadwinner kwenye familia,nyie kizazi Cha kataa ndoa ndio mnataka kubadil nature....
TAFUTENI HELA JAMANI
 
Kizazi Cha baba zetu wanaume wa shoka ndio kinaishia,tumebaki na waume zetu walalamishiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…