Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Kwahio bora tuchukue single maza wanajielewa zaidi eeh. Maana hawa watoto wa UDSM hata kufua tu hawataki wanataka kwenda saluni mwenge na kubandika makucha tu.
 
Nimetembea nchi nzima mashambani wako akina mama na machungoni wako watoto
Sasa kumbe umeona kina mama mashambani mbona bado walalamika wanawake Ni wabinafsi?Unataka wafanyaje Sasa ujue kwamba Wanawake Wana mzigo mzito kwenye familia?Ukifika muda wa mavuno mwanaume ndio anachukua mazao kuelekea sokoni
 
Uzi bora sana huu una viwango lakini umegeneralize sana. Kuna wanawake wapo smart sana, ni wachapa kazi na kipato huwa wanashirikisha waume zao. Kugawanya misaada kwa wazazi hushirikiana na waume zao. Ukiona mwanamke anasaidia familia yake kwa siri hapo umepigwa na kitu kizito. Uzi mzuri sana Wananwake wenye hizo tabia ziacheni aseee zinazuia vijana wasioe.
 
........unachosema mkuu ni kweli ingawa hicho tunachokiona kama ubinafsi Mimi nafikiri wanaume tubadili mindset tu na tukubali.......hiyo ni nature na ndio asili ya uumbaji Kwa mwanamke, kiasili yeye ni mpokeaji na wanaume ni watafutaji na watoaji na ndio dhana ya kichwa Cha familia....labda tungejadili kukithiri Kwa hiyo hali(being too much) kiasi ambacho unahisi hakuna mapenzi au mwanaume unakomolewa, ambapo bado una access ya kumuacha huyo mwanamke......Sasa kama jogoo tu anapambana kumtafutia manzi ake ambae ni mtetea itakuaje Kwa sisi wanadamu....tuache kutafuta wanawake Kwa misingi ya titi, hipsi na tako au kudate slay queens wengi wadangaji then tunalaumu kuwa wanyonyaji....
 
This is all of you are getting wrong, mme benchmark wapi? Ata Simba ambao wapo on top of the food chain, kila family member anapigana kuleta msosi nyumbani, whats up with you people?
 
Mzee una enjoy sana kumuweka Manula mjengoni! 😀 Unateleza masaa 24
 
Sasa kumbe umeona kina mama mashambani mbona bado walalamika wanawake Ni wabinafsi?Unataka wafanyaje Sasa ujue kwamba Wanawake Wana mzigo mzito kwenye familia?Ukifika muda wa mavuno mwanaume ndio anachukua mazao kuelekea sokoni
Hii context ya mjini
 
It takes a woman and a half to have man's attitude.
Kuna vitu ukivipinga kutoka kwa mwanamke ni kupingana na asili ya mwanamke.
Muishi nasi kwa akilii repeat ishi na mwanamke kwa akili.
....na hili ndo tatizo wanaume hatutaki kukubali....utegemezi wa mwanamke Kwa mwanaume haujaanza leo .....ni historical phenomena......
 
👏👏👏👏👏
Tuifanyie lamination ibandikwe pale juu kwenye logo ya jf
 
Hao ni wanaume waliosahau majukumu yao ila baba yangu mzazi hakuwa hivi
Baba zetu walikuwa wanajua majukumu yao,hawa wa siku hizi kazi yao kutaka wanawake ndio wafanye kazi,si unaona mleta mada mwenyewe anashuhudia nchi nzima kaona wanawake mashambani,Sasa hao wanaume wanakuwa wapi muda huo Kama sio vilabuni?
 
We Acha tu
Hakuna society yoyote ambayo kiasili ilimpa mwanamke jukumu la kutafuta mali...ni pale tu mwanaume alipokengeuka na kujisahau ndipo mwanamke akaona hakuna jinsi akapambame shambani atafutie wanae. Ndio maana jamii zingine mwanaume aliuejisahau anaitwa na kusemwa kwanini hahudumii familia.
 
Kizazi Cha baba zetu wanaume wa shoka ndio kinaishia,tumebaki na waume zetu walalamishiii
Mama zetu walikua na utii, ndiyo maana baba zetu walienda extra miles. Shida nyinyi ni pasua vichwa alafu mnataka tuwatunze, wewe unaniwekea kibesi alafu unataka nikutunze?over my dead body, kila mtu ajipambanie nafsi yake,tutakutana siku ya hukumu
 
Hizo story zipo nyingi sana kwamba hawana shukrani kabisa hao viumbe
 
Mama zetu walikua na utii, ndiyo maana baba zetu walienda extra miles. Shida nyinyi ni pasua vichwa alafu mnataka tuwatunze, wewe unaniwekea kibesi alafu unataka nikutunze?over my dead body, kila mtu ajipambanie nafsi yake,tutakutana siku ya hukumu
Hao waweka vibase ni misungo
Hivi mwanaume anatimiza wajibu wake....anakutunza wewe na watoto unamletea kibesi kitatoka wapii....huyo anatunzwa kama yai
 
Baba zetu walikuwa wanajua majukumu yao,hawa wa siku hizi kazi yao kutaka wanawake ndio wafanye kazi,si unaona mleta mada mwenyewe anashuhudia nchi nzima kaona wanawake mashambani,Sasa hao wanaume wanakuwa wapi muda huo Kama sio vilabuni?
Turudi mjini ambako ndiyo case study yetu, usihamishe goli
 
This is all of you are getting wrong, mme benchmark wapi? Ata Simba ambao wapo on top of the food chain, kila family member anapigana kuleta msosi nyumbani, whats up with you people?
Mwanamke ana vitu vingi vya kufanya kuliko mwanaume, mwanamke AMEELEMEWA na majukumu....Imagine abebe mimba,anyonyeshe mchana na usiku,afue nguo zako na za watoto wako,apike chakula,usafi wa kaya,jamani nyie watu hebu kuweni na utu..... watu mnafuliwa Hadi boxer lakin bado tu mnaona mwanamke so kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…