Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Mwanamke humfanya mwanaume km stepping stone tu na sio vinginevyo, wanaposema wanataka uishi nao kwa akili utambue kua wewe ni km sehemu ya mapito tu kwa mwanamke sio sehemu ya kudumu anytime anaweza akamuv on na akakuacha solemba na hapo ushajipiga sana kwa ajili yake
 
Baba zetu walikuwa wanajua majukumu yao,hawa wa siku hizi kazi yao kutaka wanawake ndio wafanye kazi,si unaona mleta mada mwenyewe anashuhudia nchi nzima kaona wanawake mashambani,Sasa hao wanaume wanakuwa wapi muda huo Kama sio vilabuni?
Hao wanawake wa mashambani wanaume zao pangu pakavu, wasiwekewe vibarua matrekta yapo ya kukodi, loooh.
 
Explore your potentials mama, Raisi tuliye naye sasa ni mwanamke mwenzako na yeye hachangii familia?
 
Nyie wakati mnaoa mnasema kikubwa tako na sura mengine mtayajulia ndani....sasa ndio mkayajulie ndani wanawaneeπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimecheka kwa nguvu sana, shida mnadharau wanaume, mna ideal men vichwani
Wale wote pamoja na wake zao walikuwa waigizaji. Hivi uliona wapi mwanaume anapiga picha na wake zake wote 3 wapo kitandani...hata yule mdai talaka eti ameongozana na familia yake bakwata wanachamba.....yale yalikuwa maigizo na mwisho sterling akifa ndo mwisho wa igizo
 
Kuna wanawake hawafanyi hayo, kila kitu kinafanywa na dada wa kazi au kwa jina jingine mlinzi wa nyumba ndio hutenda yote hayo na imefika hatua siku hizi hususani mtaani huku wababa wengi ndio huwapeleka watoto wao shule tofauti na zamani, mama hakuna anachokifanya mzigo wote kwa baba kuanzia kumuandaa mtoto mpaka kumpeleka mtoto shule kwa wale ambao hawana wafanyakazi wa ndani Ila mama yupo tu kabweteka anasubiri pesa ya vicoba na kupaka rangi kucha na kubadirisha Madera na mawigi basi HAKUNA kingine anachowaza zaidi, kingine anavuta upepo tu mvurugane achukue watoto aendelee kupiga pesa za matunzo na agombee mgawanyo wa Mali, sasa hio haileti picha nzuri mnaonekana ni wapigaji tu
 
Changamoto mwanaume akipata mali, muna mmaliza uhai wake, au vitimbi ili muachane na kugawana mali nusu kwa nusu.. ila wanawake walioshia la saba kushuka chini na wasio ijua Dunia kwa mapana yake ni wanawake wazuri sana.. nyie wa mjini tatizo lenu mna exposure kubwa sana ina waharibu maana hamna uwezo wa ku handle pressure ya dunia na matokeo yake mnazingua kama Eva pale Edeni hakuwa na uwezo wa ku muhandle shetani
 
Hakika mkuu ni KUPE
 
Hakika mkuu, wako karibu sana na shetani
 
Roho ya mtu haina elimu. Zile nyumba kule machame ambazo wanaume wake wamekufa wamebaki wamama nao wale wamama wamesoma sana ee??
Roho ya mtu kama mbaya mbaya tu tena bora hata aliyesoma anajua kujitafutia.
Lakini pia mgawanyo wa mali ni wa kisheria kwamba nyie ni wana ndoa. Mmeachana mali pasu kwa pasu....hapo kosa ni la mwanamke??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…