Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Maisha ukiishi ukashuhudia bibi na babu you get a realistic picture of life. Ukija kwa baba na mama pia mambo huwa mswano.

Utaona bila ushirikiano wa hao watu wawili maisha yangekuwa magumu sana. They were moments mzee amepoteza channel zake ila bi mkubwa ali hold up familia freshi tu.

Ila wanawake wa sasa huo ushirika hawautaki. Chake chake chako chawote na ukipoteza channel nae anahamisha goli fasta 🤣🤣🤣
Yap hili unatakiwa ulijue mapema na pia tafuta na usiwabague wao wataona aibu upande wa pili wasaidie ndugu zako maana yeye ana miguu mingi ya kuwaleta karibu ndugu zake usipokua makini kwa ubinafsi huo utashangaa unajenga upande mmoja tuu...wanaamini sana katika Asset hawa watu na wakiamini wanaume ndio wanakufa mapema yeye atabaki na Mali...
 
Kabisa mwanaume utakiwi kuyumbishwa na mwanamke. Wee kidume ni kutoa oda tuu mwanamke afuate, asipofuata untupa nje unaleta mwengine full stop.
Wasitake kutuendesha kama gari bovu kisa mbususu zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
upo sahihi boss,mwanamke anakupangia siku za kumla..mwanamke mpaka ajisikie ndio akupee mbususu ...ukitoka nje ya ndoa ananza lalamika ooooh me nime kunyima nini au au huyo ana nini kunizidi mimi.bullshit unabaki unamtukana kimoyomoyo tu. baada ya hapo inakuwa ndoa ndoana
 
Ebu tuonue hilo bega kwa bega na mumeo 😅😅
Huwezi ona bro hapa ila nahakikisha alipo nipo..yani nachangia hata theluthi...uchoyo ni tabia tuu maybe ya kurithi..ila nadhani hapa pia wanaume msijiondoe kabisa ktk ule uhalisia wa majukumu yenu...mfano ww unaprovide kila kitu mimi nashindwaje kufanya hata madogo madogo yanayojitokeza? mkisha weka mind set hawa ni jukumu langu yani i mean familia ni jukumu lenu wala hamtalalamika...
 
Back
Top Bottom