Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Umeona eehh🤣🤣🤣🤣Wameua kutufokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eehh🤣🤣🤣🤣Wameua kutufokea
Hata haoni Kama Ni kitu special!anaonani Haki yake kufanyiwa hivyo😄Hakika kama haya ulionena ndio unamfanyia huyo bishoo basi mwambie awe makini sana na team fisi 😀😀😀
Itashangaza sana Dr. SAMIA akiomba hela ya nazi kwa mumewe 😀Explore your potentials mama, Raisi tuliye naye sasa ni mwanamke mwenzako na yeye hachangii familia?
Sasa so tulishafukuzwa bustanni!na kumbuka siku ya kufukuzwa mlipewa maagizo gani?Acheni uongo bwana bread winner wapi, adam sii alikuta bustani tayari ipo na chakula ama sio sawa?
Yap hili unatakiwa ulijue mapema na pia tafuta na usiwabague wao wataona aibu upande wa pili wasaidie ndugu zako maana yeye ana miguu mingi ya kuwaleta karibu ndugu zake usipokua makini kwa ubinafsi huo utashangaa unajenga upande mmoja tuu...wanaamini sana katika Asset hawa watu na wakiamini wanaume ndio wanakufa mapema yeye atabaki na Mali...Maisha ukiishi ukashuhudia bibi na babu you get a realistic picture of life. Ukija kwa baba na mama pia mambo huwa mswano.
Utaona bila ushirikiano wa hao watu wawili maisha yangekuwa magumu sana. They were moments mzee amepoteza channel zake ila bi mkubwa ali hold up familia freshi tu.
Ila wanawake wa sasa huo ushirika hawautaki. Chake chake chako chawote na ukipoteza channel nae anahamisha goli fasta 🤣🤣🤣
Mwambie tu wahuni tupo na tutapita na wewe chaaap kwa ukali 😀! Kuna raha ukimla mwanamke Organic banaHata haoni Kama Ni kitu special!anaonani Haki yake kufanyiwa hivyo😄
Na mabango yetu, wanawake punguzeni ukatili wa kiuchumiNiko nimekaa hapa kupokea maandamano ya wanaume wakiongozwa na Extrovert na MIXOLOGIST
Hela ya mume tamu nyieeeeeeeeItashangaza sana Dr. SAMIA akiomba hela ya nazi kwa mumewe 😀
Mie siandamani hata siku 1🤣Niko nimekaa hapa kupokea maandamano ya wanaume wakiongozwa na Extrovert na MIXOLOGIST
🤣🤣🤣🤣We mwache tu ajitoe ufahamuMwambie tu wahuni tupo na tutapita na wewe chaaap kwa ukali 😀! Kuna raha ukimla mwanamke Organic bana
😂😂😂😂😂Na mabango yetu, wanawake punguzeni ukatili wa kiuchumi
Tutakula kwa jasho letu na pia tutamtawala mwanamke. So mwanamke akileta za kuleta kisa ana mbususu na kutaka kutawala piga chiniSasa so tulishafukuzwa bustanni!na kumbuka siku ya kufukuzwa mlipewa maagizo gani?
DJ awalete na Amapiano tafadhali!Niko nimekaa hapa kupokea maandamano ya wanaume wakiongozwa na Extrovert na MIXOLOGIST
Hahaha nakuona kila siku mada za hivi lazima uandamane tuu na bango kubwaaaMie siandamani hata siku 1🤣
HahahahahDJ awalete na Amapiano tafadhali!
upo sahihi boss,mwanamke anakupangia siku za kumla..mwanamke mpaka ajisikie ndio akupee mbususu ...ukitoka nje ya ndoa ananza lalamika ooooh me nime kunyima nini au au huyo ana nini kunizidi mimi.bullshit unabaki unamtukana kimoyomoyo tu. baada ya hapo inakuwa ndoa ndoanaKabisa mwanaume utakiwi kuyumbishwa na mwanamke. Wee kidume ni kutoa oda tuu mwanamke afuate, asipofuata untupa nje unaleta mwengine full stop.
Wasitake kutuendesha kama gari bovu kisa mbususu zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi ona bro hapa ila nahakikisha alipo nipo..yani nachangia hata theluthi...uchoyo ni tabia tuu maybe ya kurithi..ila nadhani hapa pia wanaume msijiondoe kabisa ktk ule uhalisia wa majukumu yenu...mfano ww unaprovide kila kitu mimi nashindwaje kufanya hata madogo madogo yanayojitokeza? mkisha weka mind set hawa ni jukumu langu yani i mean familia ni jukumu lenu wala hamtalalamika...Ebu tuonue hilo bega kwa bega na mumeo 😅😅
Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hassan atapat wasaa wa kuyasoma mabango yenuNa mabango yetu, wanawake punguzeni ukatili wa kiuchumi