Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Acha kabisa,mi mwenyewe kuku wakienyejiNa ulivyo natural sasa, wacha kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa,mi mwenyewe kuku wakienyejiNa ulivyo natural sasa, wacha kabisa.
Hapa mmi nazungumzia chama la walioolewa na waliooaKama ni mke upo sahihi ila sio mtu awekeze kwa free agent
Issue ni accountability, tujue unalipwa shilling ngapi, nyumbani unaweka ngapi,unabaki na ngapi ni hivyo tu. Ili ata zikitokea za kuhongwa tuweze kuhoji. Disclosure mamii na transparencyHahahahahahahaha kilio cha wanaumeee
Jaman kuitwa mwanaume sio kazi rahisi atti. Mengine yafukieni tu kama mamdenyi alivyotuombea msamaha
Tatizo mnachanganya kati ya wavulana na wanaume. We mwanaume gani badala ya kuinvest kwa ajili ya future yenu akahonge wanawake😀😀😀?Mwanamme ukimpa pesa anaenda kuhonga wanawake wengine.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Mtaombwa wanaume mjitokeze kwa wingi kutoa maoni yenu pindi wajumbe wa mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba mpya watakavyopita mitaaniHakika tunanyanyasika na hili jambo liingizwe kwenye katiba mpya
Wajumbe tutawakabiliMtaombwa wanaume mjitokeze kwa wingi kutoa maoni yenu pindi wajumbe wa mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba mpya watakavyopita mitaani
Wanauchuna Kama hawajui, maagizo.Sasa so tulishafukuzwa bustanni!na kumbuka siku ya kufukuzwa mlipewa maagizo gani?
Wanajisahaulisha!Wanauchuna Kama hawajui, maagizo.
Huyo kweli alikukamata 😀 yani mwanamke anishikie mimi hela oh no no no noh!!! Naweza nikahifadhi hela mahali ndani na anapojua ila sio aniwekee 😀 yani tuanze kuombana hela kama pocket money!! 😀 😀 😀Mwanamke sio wa kumuamini hata kidogo, na utapo anza muamini ndio mwanzo anguko tena anguko kubwaaa kweli.. Nakumbuka nilikuwa na mwanamke zamani akaanza ni set hela zote niwe nampa yeye ndio anaweza zisimamia mie nina matumizi mabayaaa.. nilikuwa mwezi mmoja tu.. picha ilipo anza kuni bajetia tu nikalala na mbelele .. yani hela yako ila inakutesa ukiomba hata laki kama unaomna mkopo bank 🤣🤣🤣
Hahaha na wewe zako unaleta zotee Zionekanee?Issue ni accountability, tujue unalipwa shilling ngapi, nyumbani unaweka ngapi,unabaki na ngapi ni hivyo tu. Ili ata zikitokea za kuhongwa tuweze kuhoji. Disclosure mamii na transparency
HahahaYupo rafiki yangu alikuwa na gf wake toka 2014, icho kipindi huyo dada alikuwa anasoma,
Wameenda, huyo dada kamaliza chuo maswala ya afya bahati mbaya kakutana na upepo wa kukosa ajira sasa ikabidi jamaa ampambanie apate kibarua private
Hapo wanaishi kwa msela, msela anamlea kama mtoto wake vile.
Baada ya kupata kazi akamchana msela kuwa hajawahi kumsaidia chochote na akamtema.
Hivyo ndivyo wanawake walivyo.
DuhAmini usiamini ipo siku nitawaalika wana mmmu kwenye harusi yangu. Hilo sina shaka kabisa
Usikariri mkuu wameachwa akina Bill Gates na Jeff Bezzo itakua wewe, omba Mungu yasikutokeeMungu ni fundi sana..wanaume wenzangu siri kubwa ya kuishi na hawa viumbe kwa amani:
-Hakikisha mke wako source yake ya income inahusiana na wewe..kama sio directly bas indirectly....Kama ni consultant basi lazima kuna vitu akija nyumbani akikuuliza umjibie..umpe shule, way forward..
-Kama unafanya biashara..mpe kitengo cha kizushi...mpe mshahara wake..then muache..
Yaani ni lazima kisaikolojia aone uko juu yake hasa kwanza kwenye masuala ya kipato...
Anaweza akawa na kipato kikubwa lkn hakikisha akukubali na kukuamini kama investment mentor wake...unsplan kila kitu..
Kama ni mama wa nyumbani..fine...mpe matunzo, mfungulie miradi fulani....mwambue akupe mahesabu....muongoze..
Angalia kwa wenzetu waarabu na wahindi..wanawake wao wanakuwa humo humo kwenye biashara zao..hapati nafasi ya kukutana na watu wengine wenye ubora zaidi yako....
Lazima kuwa ALPHA male...lasivyo dharau na mogomvi hayatoisha kamwe...
Wanawake wanaheshimu what you possess...mali, ushauri, ujuaji...etc..she must feel weak kwako kwa kitu fulani..
Yaani mfano hata mama Samia usikute kuna vitu vingi anaongea na mume wake kabla ya kukubali ushauri wa watu wengine...akipata maoni ya mme ndo anaendelea na upande wa pili....
Tupambaneni..huu.ni msalaba
AiseeHahaha
Hiyo hutokea sana
Kesi hiyo ilimkuta mwanangu mmoja tena mwanangu tuliyeshibana
Alimsomesha mke,hadi akapata degree akampigania akapata ajira ubalozi mmoja kweli akapata
Jamaa alimpeleka sana mke kutembea ulaya....
Kuna siku walikosana kidogo tu mke akaanza mazongezonge,
Sasa kuna siku tulikuwa tunapiga mtungi na jamaa na washkaji jamaa anarudi saa saba usiku home hamkuti mke
Jamaa ananiita kwake usiku kama saa nane hivi nikashuhdie mke hayupo
Jamaa alikuwa ameplan kuumumiza mwanamke hapo ndpo ikabidi mzee nmtulize sana jamaa kuwa aachane na mambo hayo maana atafanya jambo ambalo litakuja kumcost maisha yake,mm nna usemi mmoja napenda kutumia ya "maisha lazima yaendele"
Badaye wote walifata taratibu wakamwagana na kila mtu maisha yanaendeleaaa
Ova
Mambo ya bombey 😀😀😀Njoo uoe kwetu. Huku wanaume wanatunzwa na mali za wake zao
why not?Hahaha na wewe zako unaleta zotee Zionekanee?
Kama ni pande zote walaaah hakuna shida.why not?