Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Naunga mkono hoja, kuna raia wanasema eti ishini na wanawake kwa akili. Ujue kuiongoza akili ambayo inaamini kwamba Yeye ndio pekee anatakiwa kujaaliwa, kuhudumiwa na Kupendwa ni kazi sana. Kiufupi mimi siwezi, Namshukuru Mungu nina Mke ambaye hana huu upuuzi.
Mke wangu anajitahidi kuoambana kuleta ridhiki nyumbani namimi pia na kwa pamoja tunajikuta tunapiga hatua kidogo na kufurahia maisha kiujumla. Wanawake wachoyo hawafai kabisa
 
Mwanaume akiwa financially stable anakuwa proud kuhakikisha familia yake inaishi vizuri.

Mwanamke akiwa financially stable, anatamani kuwa huru, kuishi kivyake, hataki bugdha...

It's true, kama mke anafanya kazi basi kipato chake kiwe na mchango kwenye welfare ya familia.
Bila kufanya hivyo ndo unawapa chance team fisi kuinjoy kipato cha mkeo na kuvuruga familia.
 
Naunga mkono hoja, kuna raia wanasema eti ishini na wanawake kwa akili. Ujue kuiongoza akili ambayo inaamini kwamba Yeye ndio pekee anatakiwa kujaaliwa, kuhudumiwa na Kupendwa ni kazi sana. Kiufupi mimi siwezi, Namshukuru Mungu nina Mke ambaye hana huu upuuzi.
Mke wangu anajitahidi kuoambana kuleta ridhiki nyumbani namimi pia na kwa pamoja tunajikuta tunapiga hatua kidogo na kufurahia maisha kiujumla. Wanawake wachoyo hawafai kabisa
Hongera mkuu kila mmoja analeta kitu mezani ndio raha na inadumisha ndoa. Everybody has to feel kwamba bila familia yake anapoteza. Sio mmoja anaona atapoteza mwengine anaona hana cha kupoteza.
 
Kuoa hao wanawake wa kwetu 'its more harmful than good' hata ukiseme ebu ni mvumilie huenda ni kistaafu ata ni tunza, ila wapi pia wastaafu wengi wana kufa mapema kwa kushindwa kuhimili pressure za wake wao, wengine wana uliwa mapema na hao wake zao wengine wana telekezwa kwa sbb mwanamke haiko tayari kuhudumia mtu mwenye shida, wengine wanagawa watoto na unaanza kuchukiwa na wanao wote kumbe mama wao kasha wapandikiza sumu ya chuki .......kwa ufipi oa ila yote mkabidhi Mungu wanawake ni mtihani mkubwa sana
 
Naunga mkono hoja, kuna raia wanasema eti ishini na wanawake kwa akili. Ujue kuiongoza akili ambayo inaamini kwamba Yeye ndio pekee anatakiwa kujaaliwa, kuhudumiwa na Kupendwa ni kazi sana. Kiufupi mimi siwezi, Namshukuru Mungu nina Mke ambaye hana huu upuuzi.
Mke wangu anajitahidi kuoambana kuleta ridhiki nyumbani namimi pia na kwa pamoja tunajikuta tunapiga hatua kidogo na kufurahia maisha kiujumla. Wanawake wachoyo hawafai kabisa
Kwanza lazima tujue Mungu hajawahi kusema tuishi kwa akili na mbwa au paka au simba kwanini kasema tuishi kwa akili na wanawake?

Tangu inception of human being mwanamke ni destructive, alikua wa kwanza kukaidi maagizo ya Mungu na aliadhibiwa

Lakini, kwanini yeye tu ndiye tumeambiwa tuishi naye kwa akili na si viumbe vingine ambavyo, pengine ni vya hatari zaidi, ni kwasababu Mungu anajua she is desctructive.

Uharibifu wote kwenye familia, jamii na kila mahali ata makazini unaletwa na mwanamke (fanya tafiti)

Pia, it is important to know that ata Yesu hakutaka mwanamke, siyo kwamba hakuwa na matamanio, ila alijua atavurugwa.

Kanisa katoliki,, liko ahead of us, linajua destructive nature ya hawa watu ndiyo maana mapadre ni marufuku kuoa
 
Naomba kujua wajameni nyie wanaume wa humu ili niachane na hii mada...mnaongelea wake zenu au michepuko yenu??
 
Kuoa hao wanawake wa kwetu 'its more harmful than good' hata ukiseme ebu ni mvumilie huenda ni kistaafu ata ni tunza, ila wapi pia wastaafu wengi wana kufa mapema kwa kushindwa kuhimili pressure za wake wao, wengine wana uliwa mapema na hao wake zao wengine wana telekezwa kwa sbb mwanamke haiko tayari kuhudumia mtu mwenye shida, wengine wanagawa watoto na unaanza kuchukiwa na wanao wote kumbe mama wao kasha wapandikiza sumu ya chuki .......kwa ufipi oa ila yote mkabidhi Mungu wanawake ni mtihani mkubwa sana
its more dangerous kuoa Tanzania, its like a mini death penalty. Mwisho utaumwa pressure, uta paralyse, kisukari, mgongo na sonona
 
Kwanza lazima tujue Mungu hajawahi kusema tuishi kwa akili na mbwa au paka au simba kwanini kasema tuishi kwa akili na wanawake?

Tangu inception of human being mwanamke ni destructive, alikua wa kwanza kukaidi maagizo ya Mungu na aliadhibiwa

Lakini, kwanini yeye tu ndiye tumeambiwa tuishi naye kwa akili na si viumbe vingine ambavyo, pengine ni vya hatari zaidi, ni kwasababu Mungu anajua she is desctructive.

Uharibifu wote kwenye familia, jamii na kila mahali ata makazini unaletwa na mwanamke (fanya tafiti)

Pia, it is important to know that ata Yesu hakutaka mwanamke, siyo kwamba hakuwa na matamanio, ila alijua atavurugwa.

Kanisa katoliki,, liko ahead of us, linajua destructive nature ya hawa watu ndiyo maana mapadre ni marufuku kuoa
agiza soda baridi hapo kwa mangi, nitalipia.
 
Back
Top Bottom