Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Kuna wanawake hawafanyi hayo, kila kitu kinafanywa na dada wa kazi au kwa jina jingine mlinzi wa nyumba ndio hutenda yote hayo na imefika hatua siku hizi hususani mtaani huku wababa wengi ndio huwapeleka watoto wao shule tofauti na zamani, mama hakuna anachokifanya mzigo wote kwa baba kuanzia kumuandaa mtoto mpaka kumpeleka mtoto shule kwa wale ambao hawana wafanyakazi wa ndani Ila mama yupo tu kabweteka anasubiri pesa ya vicoba na kupaka rangi kucha na kubadirisha Madera na mawigi basi HAKUNA kingine anachowaza zaidi, kingine anavuta upepo tu mvurugane achukue watoto aendelee kupiga pesa za matunzo na agombee mgawanyo wa Mali, sasa hio haileti picha nzuri mnaonekana ni wapigaji tu
Bora umemchana makavu maana ameandika hoja hewa sana haina uhalisia.
 
Mwanamke sio wa kumuamini hata kidogo, na utapo anza muamini ndio mwanzo anguko tena anguko kubwaaa kweli.. Nakumbuka nilikuwa na mwanamke zamani akaanza ni set hela zote niwe nampa yeye ndio anaweza zisimamia mie nina matumizi mabayaaa.. nilikuwa mwezi mmoja tu.. picha ilipo anza kuni bajetia tu nikalala na mbelele .. yani hela yako ila inakutesa ukiomba hata laki kama unaomna mkopo bank [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza hii tabia ya kuamini mwanamke ndie anajua kubudget pesa ndio changamoto ambayo imewapelekea wanaume wengi kupata changamoto za kiafya siku za mbeleni au kukosa utulivu wa akili na kuwa na misongo ya mawazo isiyo na mbele wala nyuma.

Kwann kubudget pesa yako iwe kazi au zoezi gumu?! Wewe umeitafuta and therefore wewe ndie unapanga matumizi.
 
Ukikua ndiyo utajua haujui, Bill Gates na Jeff Bezo waliachwa na walikua wana provide A-Z . Ukiwajua wanawake utajuta kujiongelesha mambo ya kizembe kama haya
Huyu bado yupo under care kama sio ya wazazi basi anaishi kwa ndugu ama shemeji. Hajaanza kujitegemea na kujionea balaa la hawa viumbe.
 
We unazungumza vitu kinadharia sana. Ila hapa ni jamii forum sehemu ambapo wajuzi wapo na utaelimishwa.

Wanawake wa sasa wengi wengi wao ni hypergamous in nature kutokana na malezo wamekulia na tamaa kuwazidi nguvu. Akikutana na mwanaume mwenye pikipiki akisha kaa nae siku kadhaa ataanza tamani mwenye gari.

Akikutana na mwenye gari atatamani mwenye ndege. Kimsingi unaweza mpa mahitaji yake ya msingi na kusimamia show ila akaja kukucheat na kijana ambaye hayupo busy sababu wewe upo busy kutafuta pesa za kumpatia hayo mahitaji.
Kwahiyo wanaume inebidi tuwe hypogemy tuoe wanawake wenye low status ili waridhike na watakacho tukita nacho. Ila na hilo ni gumu unaoa House girl aweze kufanya kazi kama alivo kua ila ukikamilisha taratibu za kumuoa nayeye anakuambia umwekee mschana wakazi, eti ka,I ni nyingi, wanawake wamekua shida kweli kweli.
 
Anayekupikia, kukufanyia usafi wako binafsi na nyumba yako, kukulelea watoto, kukulindia nyumba vyote hvyo hujaona....
Wanaokuja na hoja hizo wana element za ushoga na hivyo kuona mwanamke anafaidi. Kwamba alikuja kama alivyo anaondoka na 50%
Okay , so tufanye hizo ni sababu za kugawana mali. Mbona ninyi masingle mother siku hizi mnaongoza kwa kuexploit watoto wa kike kwa kutorosha watoto wa watu umri wa miaka hata 12 mnawaleta mijini kwa madai mnawafunza kazi.

Hawa mabinti wanafanya kazi na kupewa majukumu nje ya uwezo wao wa kiakili na kimwili/kiumri. Mwisho wa siku mnakaa nao mnawafuja jitihada zao kwa posho ndogo ambazo mnazipa majina ya mishahara na bado mnawarusha kuwapa kwa wakati.
Na mkiona wameanza kukua kiakili yaani kufikia umri w balehe mnawafukuza kwa visingizio mbali mbali kuwa wamekuwa viburi, wanadharau, wavivu, wanatabia mbaya au ushirikina.

Je , na hawa mahousegirl kwa maudhui uliyosema hapo kuwa kupikia ,kumfulia,kumlelea watoto,kumlindia nyumba na kumfanyia usafi mwanaume ni sababu zinazokupa uhalali wa kisheria wa kugawana nae mali je na wewe hawa mahousegirl huwa unaconsider kugawana nao mali kwa majukumu ambayo wamekufanyia kwa muda wao wote uliowapotezea?

Tena mkiwapotezea muda mnawaacha solemba bila ramani watoto wa watu wanaishia mitaani humu wanaanza kuwa wadangaji au wanaenda kufanyisha kazi ambazo si sehemu ya maisha yao kuwa barmaids, kuwa wasaidizi wa mama ntilie, kufanya kazi kwenye madanguro ya ngono au kuwa wale wadada wa salooni.

WANAWAKE mnajiona wajanja sasa ila subirini very soon hizi movements zenu za kiseng* zitabackfire na hamta amini jehanamu itakayowavaa hapa Duniani. Mark my words. Very soon mtaanza kujifunza kwa gharama kubwa.
 
Ukisema ni asili unaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wako ila to me its different. Jamii imejengeka kwa utofauti sana na malezi tofauti.

Ndio maana kuna wanawake wako independent af kuna wengine dependent. Kuna wanawake generous na wengine ni selfish.

Combination nzuri ni ile ya mwanamke independent na generous. Wenye aina hii ndio wanainjoy ndoa zaidi.
Wanasema asili utadhani waliandikiwa sehemu kuwa hii ni asili.
 
Wanasema asili utadhani waliandikiwa sehemu kuwa hii ni asili.
Hio asili ni kichaka tu kama kile kinachotumiwa na mabazazi wa kuwa mke mmoja hatoshi.

Badala waseme hela zikizidi wanawiwa kuchepuka sababu wanawake wanawafata fata sana kama inzi na sio ustaarabu kuwaacha hivi hivi. 😀
 
Dada wa kazi ndio anabeba mimba za watoto na kuwanyonyesha,au sio?
Mnanyonyesha saa ngapi kutwa kucha mpo mitaani huko mnapuyanga ?!

Kwanza siku hizi kunyonyesha watoto na kuzaa kwa njia ya asili mnaona ni mzigo mnanyonyesha mtoto hata miezi 3 sababu ya mambo mnajifunza kwenye mitandao. Mkijitahidi sana mnanyonyesha miezi sita halafu mtoto anaanza kupambana na maziwa ya kopo na chakula cha kawaida.

Ndio maana hata matatizo ya watoto ya akili yanaongezeka, nenda pale CCBRT wakupe takwimu utaelewa.

Yaani mabinti wa sasa ni kama kizazi cha bahati mbaya ambao mlikuja hapa duniani kupoteza muda kufanya upuuzi na kuondoka huku nyuma mkiacha uharibifu na laana za kila aina.
 
Kuna wanawake hawafanyi hayo, usikariri nyumba hazifanani aisee kuna wanawake hawaishi maisha hayo kabisa ni wa kuendeshwa na gari kupelekwa na kurudishwa kazi zote zafanywa na dada wa kazi, amka uko usingizini
Tena anaota ndoto mbaya kupita maelezo.
 
Mnanyonyesha saa ngapi kutwa kucha mpo mitaani huko mnapuyanga ?!

Kwanza siku hizi kunyonyesha watoto na kuzaa kwa njia ya asili mnaona ni mzigo mnanyonyesha mtoto hata miezi 3 sababu ya mambo mnajifunza kwenye mitandao. Mkijitahidi sana mnanyonyesha miezi sita halafu mtoto anaanza kupambana na maziwa ya kopo na chakula cha kawaida.

Ndio maana hata matatizo ya watoto ya akili yanaongezeka, nenda pale CCBRT wakupe takwimu utaelewa.

Yaani mabinti wa sasa ni kama kizazi cha bahati mbaya ambao mlikuja hapa duniani kupoteza muda kufanya upuuzi na kuondoka huku nyuma mkiacha uharibifu na laana za kila aina.
Wanakunywa SMA and COW AND GATE
.....Maana Yuko busy kulea baba zao wasiojua majukumu yao
 
Wasalaam wana JF

Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbali pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo.

Tabia hizi mbaya za wanawake zimesababisha mahusiano mengi yamekufa, familia nyingi zimefarakana na ndoa nyingi zimevunjika. Mambo hayo yote hayakuwahi kumuacha mwanaume salama.

Aidha, vijana wengi, kwa kutambua hilo hawataki kuoa na kampeni ni nyingi hivi sasa za kuhamasisha watu KUKATAA NDOA.

Ata mimi na subscribe kwenye mawazo sahihi kwamba ndoa ni utapeli na pengine ni ajira au chanzo cha mapato kwa wanawake wengi ambao ni wabinafsi na wachoyo.

Kwanini sasa hawa akina mama wanakua wabinafsi na wachoyo:

1. Kubwa ni umasikini na fikra za kimasikini
Mwanamke aliyetoka kwenye familia masikini anadhani mume ndiyo suluhisho la matatizo yake na familia yake. Imagine baba yake hakumudu mambo mengi, lakini akija kwako atataka wewe ufanye mambo ambayo ata baba yake hakuweza;

2. Dhana potofu kwamba mwanaume ndiye sole braid winner
Hii ni dhana iliyojengeka kutokana na nadharia potofu kwamba mwanaume ndiye anayepaswa kulisha na kutunza familia. Kimsingi, mila na tamaduni zetu hazi support hii hypothesis. Babu zetu walioa wake wengi na sehemu kubwa ya uzalishaji wa mali ulifanywa na wanawake, wao ndiyo waliokua wanalima mashamba na kutunza mifugo. Hivyo uzalishaji mali ulikua shirikishi hali kadhalika utumiaji wake

Hali kadhalika vitabu vya dini pia havitambui hili rejea .Mithali 31:10-31 ambapo mke mwema ameelezewa kwa kirefu.Pengine, hii dhana ililetwa na wakoloni kutubabaisha na kutuondolea misingi yetu thabiti ya familia, kwani huko kwao mwendo ni 50/50.

3. Ushawishi hasi kutoka kwenye makundi potofu
Wanawake wengi hawana akili independent, wanategemea mawazo kutoka kwa wenzao. Ni ukweli usiopingika kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake, sasa utakuta sehemu kubwa ya maisha ya wanawake yanaendeshwa kwa kutumia akili za wenzake. Fanya hivi fanya vile, bila kuchunguza madhara ya yale afanyayo. Hivyo basi, pesa za wanawake zinaingia kwenye VICOBA na mchango wao katika familia unakua mdogo huku akipambana kujilimbikizia mali pasipo mwenzi wake kujua au kushirikishwa.

4. Kutokua na mapenzi ya dhati na familia
Wanawake wengi siyo wa kweli (honest) wako kwenye mahusiano kwa sababu zingine na si mapenzi. Mwanamke anaweza kuolewa ata na shetani kwa sababu anaona umri wake wa kuolewa utapita, in short ni opportunists. Kuishi na mtu asiye kupenda ni changamoto kubwa sana, hakuna rangi utaacha ona. Kwa sababu hiyo basi, ushiriki wa wanawake kwenye kujenga hizo familia unakua ni mdogo, kwasababu hawajapenda, hutakaa uone mchango wao kwenye ujenzi wa hiyo familia na mwisho wake familia inasambaratika.

5. Unafiki
Wanawake kiasili ni wanafki, na wataonesha uzuri kwa nje ila ndani ni mbwa mwitu. Siku zote wanawake wana nia ovu, kaa nao kwa magutu sana. Akipata opportune moment umekwisha.

6. Tamaa na ubabaikaji
Wanawake hawako stable, wana tamaa japo anaweza kuzi suppress, ila tamaa ndiyo asili yao.wanawake wanataka vitu vyote vizuri viwe vyao, ukiwa maarufu na successful utawatembezea vitombo mpaka ukinai. Pia ukiwa na muonekano mzuri nayo ni shida. So mwanaume unapaswa at least uwe stable financially ili uwe salama

7. Malezi mabaya
Wanawake wengi wamelelewa kipuuzi, hii pengine ni kutokana na mapokeo ya dini au tabia mbaya za wazazi. Kwamba aende tu kwa mume, mume ndiye atakaye muhudumia. Yaani hapa wazazi wanakusukumia zigo lao. Hii si sawa, hakuna mtu ambaye anatakiwa awe responsible na maisha ya mtu mwingine, lazima watu wafanye kazi, wazalishe na kuchangia kwenye ujenzi wa familia. Hizo myth kwamba mwanume ni sole bread winner are long gone. Kama wanawake hawatajiongeza kwenye hili, hakuna mvulana atakayeoa, mark my words

HITIMISHO

UBINAFSI NA UCHOYO SIYO TABIA NJEMA

HAKUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUISHI NA KUDUMU NA MWANAMKE MCHOYO NA MBINAFSI

MAHUSIANO SIYO CHANZO CHA MAPATO

KILA MTU MZIMA ANA WAJIBU WA KUFANYA KAZI NA KUJIPATIA KIPATO CHAKE HALALI

UJENZI WA FAMILIA SIYO JUKUMU LA BABA PEKE YAKE, BALI NI WANAFAMILIA WOTE

MKIENDELEA KUWA WACHOYO NA WA BINAFSI, NDOA MTAZISIKIA NCHI JIRANI
Exactly
 
Ndio maana Tunasema wanaume wa siku hizi Ni bure kabisa,Kama mnawalala mpaka wa dada wa kazi Sasa mnataka tuchangie Nini tena, kwenye ujenzi wa familia,we pambana ulete kitu mezani maana wewe Ni kidume!Mimba hata ng'ombe anabeba au sio??haumthamini mwanamke unatarajia wewe ndo akuthamini?
Unathamini mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa mwanamke na sio mwanamke jina tu ila changamoto kibao.

Kimsingi kuna mahousegirl ukiwapima hadhi yao utawaona wapo vizuri sana katika kuwajibika na majukumu ya kifamilia hadi unatamani kuvunja ndoa uoe beki tatu. Changamoto mnazohangaika nazo huwa hazina uhusiano wa moja kwa moja na ndoa.
 
Hayo majukumu ya mume mnaya benchmark wapi, sisi binadamu ni wanyama je wanyama wengine wanafanya hivyo? Chukua mfano wa Simba, wao ndiyo on top of our food chain, simba mume ndiyo anabebeshwa mzigo huo au ni team work?
Hili swali ni la msingi sana.
 
Kwani sisi Ni Simba?haya mbona humtolei mfano ndege?
Ndege shughuli ni ile ile mifano hai ni mingi. Kunguru, njiwa, shorwe na ndege wengineo wanaishi kwa style hiyo ya kusaidiana majukumu jike akifanya majukumu ya kulisha na kulea vifaranga huku ndege dume akienda Bar kupanga maisha na ndege wengineo wanaume.
 
Back
Top Bottom