Kwanini wanawake tunachukiana sana?

Kwanini wanawake tunachukiana sana?

Mwanamke unaanzaje kuhamia kuwa na marafiki wa kiume kuliko wanawake wenzio...Sio Siri hilo ni pigo kwa mpenzi wako km akijua na wala hatakiw kukuunga mkono kwa hilo

Ila kiukweli wanawake kwa wanawake ni wanafki by nature(kiasili) hiyo ndio asili yenu tofauti na sisi wanaume

Kwa sisi wanaume ukiwa na tabia hizo za kike za kisnichi tunakukacha mapm na tunakupa makavu laivuuu

Yes wanaume are very real mpaka raha
 
Nlikua naishi na A,nlimtembelea ksma likizo.A alikua na marafiki ila kipindi hiko alikua anaenda sana matembezi na rafikiye tumite B..huyu B hakua akikaa mbali sana so akiwa free anakuja kwa A wanapika na kupakua story kwa sana.kuna siku A akaniambia nina rafiki tumite C,anataka kuja kunitembelea maana haya ni makazi mapya ikiwemo kupajua kwangu.sijui siku gani itamfaa nimpikie vizuri na kumkirimu.akapanga siku akamwambia ijumaa njoo.C akajibu sawa ntakuja mchana.siku ilipofika A akaanza maandalizi makulaji ya kutosha,mchana umefika C akapigiwa unakuja? Akajibu nakuja ila ntachelewa kidogo.tukamgoja mpaka saa kumi ndo kafika katika maongezi akaanza kumnanga B,ooh A unamjua B mara yuko amara vile kamsemaaa!
Alivomaliza ugeni kaaga.

Kesho sasa B akajiskia kuja kumtembelea A.kufika baada ya mambo ya msingi akaamuuliza A hivi unamjua C?maana jana kaja kwangu mchana ghafla akaanza kukusengenya,anakuongelea vibaya mno hadi nashangaa.
A kabaki hee!!??
Huyo C jana kaja kunitembelea jioni kumbe katoka kwako kuniongelea halafu akaja kwangu akaanza kukuongelea nawe kaja kukusengenya kwangu ndo akaondoka.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] haki nkikumbuka hili tukio nabaki hoi.
Wanawake sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa A, B na C wote ni wanawake?
 
From now onwards I will be having only male friends
Nlivosoma tittle nkaangalia avatar nkaona muda umeenda siwezi soma kote nikasoma statement yako ya mwisho..... karibu sana sisi wanaume huwa hatuna mba mba mba lkn kuna changamoto zake japo sio kubwa kiivo
 
Back
Top Bottom