Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
- Thread starter
- #41
sababu kubwa ya wanawake kuchukiana ni kutokana na mfumo dume ambao sababu yake kuu ni mila na dini.
[emoji848][emoji848][emoji848]hebu nifafanulie vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sababu kubwa ya wanawake kuchukiana ni kutokana na mfumo dume ambao sababu yake kuu ni mila na dini.
Majivuno hata haieleweki wanachojivuniaKwenye customer care wanawake wanaharibu sana sometimes hata kukimbiza wateja
sio kwamba wanakuonea wivu unavotembea na boss[emoji28]
na ukute boss anakuzunguka anakula mmojawapo😅Yess iyo nayo ni one of the reasons pia [emoji35]
Mwanamke unaanzaje kuhamia kuwa na marafiki wa kiume kuliko wanawake wenzio...Sio Siri hilo ni pigo kwa mpenzi wako km akijua na wala hatakiw kukuunga mkono kwa hilo
Ila kiukweli wanawake kwa wanawake ni wanafki by nature(kiasili) hiyo ndio asili yenu tofauti na sisi wanaume
Kwa sisi wanaume ukiwa na tabia hizo za kike za kisnichi tunakukacha mapm na tunakupa makavu laivuuu
Yes wanaringa yaani unakuta wanaweka mbele uzuri na pia fikra kama vile akiwa mkarimu atatongozwa.Majivuno hata haieleweki wanachojivunia
Hakua kitu km hcho
Hao ni takataka kwenye biashara Mimi Huwa siwatakiYes wanaringa yaani unakuta wanaweka mbele uzuri na pia fikra kama vile akiwa mkarimu atatongozwa.
Kwenye customer care wanawake wanaharibu sana sometimes hata kukimbiza wateja
Strong and Fearless unaona ni kwasababu wanawake nyie kwa nyie hampendani?
na ukute boss anakuzunguka anakula mmojawapo[emoji28]
Umetuonea sana!!Ila hamna watu wambea kama wanaume usisahau Hilo....
hahaaYou have hurt my feelings kwa ichi ulichocomment [emoji17][emoji17]
Alisema boss hatembei na staff wengine
Hawa A, B na C wote ni wanawake?Nlikua naishi na A,nlimtembelea ksma likizo.A alikua na marafiki ila kipindi hiko alikua anaenda sana matembezi na rafikiye tumite B..huyu B hakua akikaa mbali sana so akiwa free anakuja kwa A wanapika na kupakua story kwa sana.kuna siku A akaniambia nina rafiki tumite C,anataka kuja kunitembelea maana haya ni makazi mapya ikiwemo kupajua kwangu.sijui siku gani itamfaa nimpikie vizuri na kumkirimu.akapanga siku akamwambia ijumaa njoo.C akajibu sawa ntakuja mchana.siku ilipofika A akaanza maandalizi makulaji ya kutosha,mchana umefika C akapigiwa unakuja? Akajibu nakuja ila ntachelewa kidogo.tukamgoja mpaka saa kumi ndo kafika katika maongezi akaanza kumnanga B,ooh A unamjua B mara yuko amara vile kamsemaaa!
Alivomaliza ugeni kaaga.
Kesho sasa B akajiskia kuja kumtembelea A.kufika baada ya mambo ya msingi akaamuuliza A hivi unamjua C?maana jana kaja kwangu mchana ghafla akaanza kukusengenya,anakuongelea vibaya mno hadi nashangaa.
A kabaki hee!!??
Huyo C jana kaja kunitembelea jioni kumbe katoka kwako kuniongelea halafu akaja kwangu akaanza kukuongelea nawe kaja kukusengenya kwangu ndo akaondoka.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] haki nkikumbuka hili tukio nabaki hoi.
Wanawake sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlivosoma tittle nkaangalia avatar nkaona muda umeenda siwezi soma kote nikasoma statement yako ya mwisho..... karibu sana sisi wanaume huwa hatuna mba mba mba lkn kuna changamoto zake japo sio kubwa kiivoFrom now onwards I will be having only male friends