Kwanini wanawake tunachukiana sana?

Kwanini wanawake tunachukiana sana?

Halafu hii tabia ya kike baadhi ya wanaume wameanza kuwa nayo, kuna vijiwe wapo vijana wa ovyo kabisa.
Hasa boda boda, sahivi wanaume ni wambea na wakuda kuliko wanawake, hata mashoga wenyewe wana afadhari.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom