Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Kuwa makini sio Kila jambo lako unaliweka wazi Kwa marafiki weka Yale yasiyo na madharaNifundishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa makini sio Kila jambo lako unaliweka wazi Kwa marafiki weka Yale yasiyo na madharaNifundishe
Una miaka mingapi bibie?If you only allow it Ndio atakukula but if you don’t hawezi
Kuwa makini sio Kila jambo laki unaliweka wazi Kwa marafiki weka Yale yasiyo na madhara
Una miaka mingapi bibie?
Hasa boda boda, sahivi wanaume ni wambea na wakuda kuliko wanawake, hata mashoga wenyewe wana afadhari.Halafu hii tabia ya kike baadhi ya wanaume wameanza kuwa nayo, kuna vijiwe wapo vijana wa ovyo kabisa.
Tena wamezidi mnooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila hamna watu wambea kama wanaume usisahau Hilo....
Sio kwa me wala ke, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha yetu yamejaa unafiki mwingi inabidi uishi Kwa code.
Kabisa yaaniTena wamezidi mnooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HakikaSio kwa me wala ke, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MnoooKabisa yaani