Kwanini wanawake wa CHADEMA walitaka kukutana Musoma na sio Dodoma?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi.

Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio la mahakama limekwisha expire.

Tusiwe na tabia ya kulibagaza jeshi la polisi kama vile uwepo wake sio muhimu kwetu. yaani chadema inaweza kuishi nchini hapa bila kutegemea jeshi la polisi? Tusipimane ubavu na serikali.
 
Musoma siyo Tanganyika?? Acha ujinga bwana we mkubwa.
 
Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi.

Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio la mahakama limekwisha expire.

Tusiwe na tabia ya kulibagaza jeshi la polisi kama vile uwepo wake sio muhimu kwetu. yaani chadema inaweza kuishi nchini hapa bila kutegemea jeshi la polisi? Tusipimane ubavu na serikali.
Hivi ukiweka bundle ambalo lina muda wa kuexpire, muda ukiisha unatakiwa kwenda kwenye kampuni husika ya simu kujiridhisha kuwa bundle limeisha?
 
Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi.

Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio la mahakama limekwisha expire.

Tusiwe na tabia ya kulibagaza jeshi la polisi kama vile uwepo wake sio muhimu kwetu. yaani chadema inaweza kuishi nchini hapa bila kutegemea jeshi la polisi? Tusipimane ubavu na serikali.

Wewe mbona unaandika jf na sio Facebook?

Ile ni sikukuu ya wanawake sio sikukuu ya chadema

Mbona ccm hawajapangiwa sehemu ya kwenda.?
 
BAWACHA ni miongoni mwa jumuiya za wanawake malofa na nonsense sana ndani ya chadema
 
Na kwanini isiwe Musoma iwe Dodoma...?

Kwa kuwa nyie CCM huwa mnakutana Dodoma, basi unataka na BAWACHA-CHADEMA wakutane Dodoma..!!??

Don't be stupid, naive and halucinator just like your fellow chawaz such as Tlaatlaah and others with zero brain....!!

Kila aliyehusika kuzuia na kuharibu shughuli hiyo ya CHADEMA atafikishwa mahakamani kwa Jina lake binafsi maana walichofanya wala si kutekeleza sheria bali ni ABUSE OF POWER - yaani kutumia mamlaka na ofisi za umma vibaya..!

View: https://youtu.be/vcvAUEdIfvU?is=ET1OINlzzPzd1Gp7
 
Mbona CCM haijawai kuwekewa vikwazo vyovyote, ina maana wao hawajawai kufanya kosa? au ndo kwamba boss hakosei?
hUwezi fananisha CCM ambayo ilikuwepo hata wakati wa ukoloni na chadema. Ukitaka kuondoa CCM lazima uwe na adabu, hekima na busara kuliko kuivimbia na kuitishia. Serikali ya CCM ni nusu raia na nusu jeshi. Wale tuliokwenda jeshini enzi mnakumbuka kuwa kila mwanajeshi alikula mafunzo ya miezi 3 ya CCM na kupewa kadi ya CCM. Vyama vingi viliondoa mafunzo yale kikatiba tu.

Hakuna mtu mwenye akili timamu atavikataa na kuvichukia vyama vingi kwenye taifa, huyo atakuwa hajui alifanyalo kwakuwa vyama vingi ndio mjeredi wa kumpigia punda aende mbele, Natamani kuwepo na chama ambavyo kina uwezo wa kupokezana kuikalia Ikulu kutokana na sera zao. Lakini Tz bado kabisa hatujakipata chama hicho, maana tuna vyama ambavyo viko tayari kuichoma nchi ili tuanze upya watakapoingia Ikulu.
 
Kwanini Dodoma na si Musoma?
Kwanini isingekuwa Singida katikati ya tz kila mtu angefika kwa urahisi? Kule Musoma ni rahisi kuungana na mungiki kutoka nchi jirani wenye uzoefu wa kugoma. Hata Rais Museveni alithibitisha hilo kuwa vijana wa kenya wanatembelea nchini nyingine kutoa mafunzo ya namna ya kugoma na kuchoma nchi.
 
Walikuomba uwachangie nauli ya kuwafikisha Musoma?
 
Hao police ndio waje na uthibitisho chadema wamezuiwa na mahakama kufanya mikutano, hao police zero brain wanajulikana ni wapumbavu kama CCM inayoyowatuma kuharibu mikutano ya watu
 
Wewe mbona unaandika jf na sio Facebook?

Ile ni sikukuu ya wanawake sio sikukuu ya chadema

Mbona ccm hawajapangiwa sehemu ya kwenda.?
Mahakama imezuia kazi zote za chadema, hiyo nayo inahitaji watu waumizane? Tz ni yetu sote, tufuate sheria ili tunufaike wote. Huwezi kujitokeza hadharani na kusema huwaogopi polisi, kauli kama hizo ni za kijinga kabisa, yaani unataka kusema polisi hawana maana kwako unaweza kuishi bila polisi. Matamshi kama hayo yanasababisha maumivu kwa watu wasiokuwa na hatia. Hivi ni polisi gani huyo anakubali kubezwa na raia anaemlinda usiku na mchana?. Kumbukeni jeshi la polisi ni kama mbwa lipo kwa mujibu wa sheria, na linatii mamlaka na amri kutoka kwa wamiliki wao.
 
Na kwanini isiwe Musoma iwe Dodoma...?

Kwa kuwa nyie CCM huwa mnakutana Dodoma, basi unataka na BAWACHA-CHADEMA wakutane Dodoma..!!??

Don't be stupid, naive and halucinator just like your fellow chawaz such as Tlaatlaah and others with zero brain....!!

Kila aliyehusika kuzuia na kuharibu shughuli hiyo ya CHADEMA atafikishwa mahakamani kwa Jina lake binafsi maana walichofanya wala si kutekeleza sheria bali ni ABUSE OF POWER - yaani kutumia mamlaka na ofisi za umma vibaya..!

View: https://youtu.be/vcvAUEdIfvU?is=ET1OINlzzPzd1Gp7

Nchi lazima itawalike. Hata chadema ingekuwa iko Ikulu ingefanya hayohayo na hivyohivyo kwa vyama vingine, tusidanganyane hapa. Wote tuliona namna mzee kaunda na chama chake cha ukombozi alivyonyanyaswa na wapinzani baada ya kuingia Ikulu hadi Mwl Nyerere akaingilia kati kumuokoa mzee wa watu. Piga picha kama TAL na Heche wataingia Ikulu!!!!!! heeeeeee we acha tu, khatareee!!!
 
Kwa sababu Dodoma ni makao makuu ya chama na serikali. Nadhani unaelewa. Kama wangekuwa wanataka kupindua serikali na chama wangeenda dodoma
 
hUwezi fananisha CCM ambayo ilikuwepo hata wakati wa ukoloni na chadema. Ukitaka kuondoa CCM lazima uwe na adabu, hekima na busara kuliko kuivimbia na kuitishia. Serikali ya CCM ni nusu raia na nusu jeshi. Wale tuliokwenda jeshini enzi mnakumbuka kuwa kila mwanajeshi alikula mafunzo ya miezi 3 ya CCM na kupewa kadi ya CCM. Vyama vingi viliondoa mafunzo yale kikatiba tu.

Hakuna mtu mwenye akili timamu atavikataa na kuvichukia vyama vingi kwenye taifa, huyo atakuwa hajui alifanyalo kwakuwa vyama vingi ndio mjeredi wa kumpigia punda aende mbele, Natamani kuwepo na chama ambavyo kina uwezo wa kupokezana kuikalia Ikulu kutokana na sera zao. Lakini Tz bado kabisa hatujakipata chama hicho, maana tuna vyama ambavyo viko tayari kuichoma nchi ili tuanze upya watakapoingia Ikulu.
CCM gani ilikua wakati wa ukoloni au umechanganyikiwa wewe bug?
 
Back
Top Bottom