Sio kosa lakoKwanini isingekuwa Singida katikati ya tz kila mtu angefika kwa urahisi? Kule Musoma ni rahisi kuungana na mungiki kutoka nchi jirani wenye uzoefu wa kugoma. Hata Rais Museveni alithibitisha hilo kuwa vijana wa kenya wanatembelea nchini nyingine kutoa mafunzo ya namna ya kugoma na kuchoma nchi.
siafahamu
Ccm imejaza mavi kichwani kama yale ambayo Huwa anayaweka hapa jf yule chizi karogwa tena, by the way nakupa taarifa wewe nguruwe wa lumumba kuwa bawacha huwa inafanya rotation kwenye sherehe za wanawake ambapo Dodoma ulifanyika mwaka jana, nguruwe wa warabu jielimishen otherwise mtazeekea jf huku kina katambi kutoka chadema wakipewa uwaziri.Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi.
Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio la mahakama limekwisha expire.
Tusiwe na tabia ya kulibagaza jeshi la polisi kama vile uwepo wake sio muhimu kwetu. yaani chadema inaweza kuishi nchini hapa bila kutegemea jeshi la polisi? Tusipimane ubavu na serikali.
Wewe ni miongoni mwa mapumbavu kuliko hata butiku huko ccm foolish to the highest order.BAWACHA ni miongoni mwa jumuiya za wanawake malofa na nonsense sana ndani ya chadema
Singida mngefanya nyie wajinga mnaofugwa na Abdul hapo Lumumba pamoja na mama yenuKwanini isingekuwa Singida katikati ya tz kila mtu angefika kwa urahisi? Kule Musoma ni rahisi kuungana na mungiki kutoka nchi jirani wenye uzoefu wa kugoma. Hata Rais Museveni alithibitisha hilo kuwa vijana wa kenya wanatembelea nchini nyingine kutoa mafunzo ya namna ya kugoma na kuchoma nchi.
Jielimishen nyie wajinga wa Abdul tofauti na hapo mtazeekea jf kama mayala wa JAB.Mahakama imezuia kazi zote za chadema, hiyo nayo inahitaji watu waumizane? Tz ni yetu sote, tufuate sheria ili tunufaike wote. Huwezi kujitokeza hadharani na kusema huwaogopi polisi, kauli kama hizo ni za kijinga kabisa, yaani unataka kusema polisi hawana maana kwako unaweza kuishi bila polisi. Matamshi kama hayo yanasababisha maumivu kwa watu wasiokuwa na hatia. Hivi ni polisi gani huyo anakubali kubezwa na raia anaemlinda usiku na mchana?. Kumbukeni jeshi la polisi ni kama mbwa lipo kwa mujibu wa sheria, na linatii mamlaka na amri kutoka kwa wamiliki wao.
Usiwapangie mahali pa kukutana , kila mwaka wanachagu mkoa ambao wanaadhimisha siku hiyo kitaifa, wacha kuwa na akili mgando. Na hapa Tanzania hatuna jeshi la polisi bali tuna majambazi yanayovaa uniform na kuisaidia CCM kutawala kiharamu nchi hii.Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi.
Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio la mahakama limekwisha expire.
Tusiwe na tabia ya kulibagaza jeshi la polisi kama vile uwepo wake sio muhimu kwetu. yaani chadema inaweza kuishi nchini hapa bila kutegemea jeshi la polisi? Tusipimane ubavu na serikali.
Huyo akili kisoda hata hajitambui ili mradi apost kitu ili buku saba isome.Hivi ukiweka bundle ambalo lina muda wa kuexpire, muda ukiisha unatakiwa kwenda kwenye kampuni husika ya simu kujiridhisha kuwa bundle limeisha?
Rudi darasani ewe kilaza CCM iliundwa 1977 .hUwezi fananisha CCM ambayo ilikuwepo hata wakati wa ukoloni na chadema. Ukitaka kuondoa CCM lazima uwe na adabu, hekima na busara kuliko kuivimbia na kuitishia. Serikali ya CCM ni nusu raia na nusu jeshi. Wale tuliokwenda jeshini enzi mnakumbuka kuwa kila mwanajeshi alikula mafunzo ya miezi 3 ya CCM na kupewa kadi ya CCM. Vyama vingi viliondoa mafunzo yale kikatiba tu.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atavikataa na kuvichukia vyama vingi kwenye taifa, huyo atakuwa hajui alifanyalo kwakuwa vyama vingi ndio mjeredi wa kumpigia punda aende mbele, Natamani kuwepo na chama ambavyo kina uwezo wa kupokezana kuikalia Ikulu kutokana na sera zao. Lakini Tz bado kabisa hatujakipata chama hicho, maana tuna vyama ambavyo viko tayari kuichoma nchi ili tuanze upya watakapoingia Ikulu.
Kwanini Dodoma na si Pemba.Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi.
Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio la mahakama limekwisha expire.
Tusiwe na tabia ya kulibagaza jeshi la polisi kama vile uwepo wake sio muhimu kwetu. yaani chadema inaweza kuishi nchini hapa bila kutegemea jeshi la polisi? Tusipimane ubavu na serikali.
Hujui kitu. Kule Musoma kuna mipaka ambayo mungiki wanaweza kupenya kuingia na kutoka kwa urahisi kuliko Dodoma. Kuna vitu ambavyo huhitaji kuwa na D hata moja kuvijua. Kumbuka kuwa vyanzo vya fedha kwa chadema vinapitia Kenya, hata mtu ambae angelipa posho za wajumbe angetoka huko na fuko lake la mapesa. Dodoma, Arusha au tanga ingekuwa vigumu sana watu hao kujipenyeza.Kwa sababu Dodoma ni makao makuu ya chama na serikali. Nadhani unaelewa. Kama wangekuwa wanataka kupindua serikali na chama wangeenda dodoma
Hujui kitu, soma tu comments za wengine utaelimika zaidi. CCM imebadilisha tu jina lake kutoka TANU/ASP na TAA, Shiraz Party/African Association ambavyo vilikuwepo wakati wa ukoloni.CCM gani ilikua wakati wa ukoloni au umechanganyikiwa wewe bug?
Wewe mfuas wa Abdul unajua nini kazi yenu kupost mavi jf kama akili zenu zilivyo.Hujui kitu, soma tu comments za wengine utaelimika zaidi. CCM imebadilisha tu jina lake kutoka TANU/ASP na TAA, Shiraz Party/African Association ambavyo vilikuwepo wakati wa ukoloni.
tuliza mihemko nonsense bas gentleman na ujikite kwenye hojaWewe ni miongoni mwa mapumbavu kuliko hata butiku huko ccm foolish to the highest order.
You are too wordy with no point(s).Na hao waliokuwa wanatoa hi -yo/zo- amri haramu ndiyo wa Kariba yako wewe mwenyewe.hUwezi fananisha CCM ambayo ilikuwepo hata wakati wa ukoloni na chadema. Ukitaka kuondoa CCM lazima uwe na adabu, hekima na busara kuliko kuivimbia na kuitishia. Serikali ya CCM ni nusu raia na nusu jeshi. Wale tuliokwenda jeshini enzi mnakumbuka kuwa kila mwanajeshi alikula mafunzo ya miezi 3 ya CCM na kupewa kadi ya CCM. Vyama vingi viliondoa mafunzo yale kikatiba tu.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atavikataa na kuvichukia vyama vingi kwenye taifa, huyo atakuwa hajui alifanyalo kwakuwa vyama vingi ndio mjeredi wa kumpigia punda aende mbele, Natamani kuwepo na chama ambavyo kina uwezo wa kupokezana kuikalia Ikulu kutokana na sera zao. Lakini Tz bado kabisa hatujakipata chama hicho, maana tuna vyama ambavyo viko tayari kuichoma nchi ili tuanze upya watakapoingia Ikulu.
Malofa nyie, mnataka kutuaminisha kuwa chadema kwenda ikulu ni muhimu kuliko barabara zetu, vituo vya polisi vyetu, TRA yetu, vituo vyetu vya mafuta. Yaani mnaweza kuvichoma vyote na kuvijenga upya chadema ikienda Ikulu. Mlipoteza credibility ya kuwa chama cha siasa.You are too wordy with no point(s).Na hao waliokuwa wanatoa hi -yo/zo- amri haramu ndiyo wa Kariba yako wewe mwenyewe.
Uwezo wako wa kufikiri uko chini mno ukichagizwa na ushabiki maandazi Kisiasa na uchawa ,vitu ambavyo vimekupiga upofu wa kifikira kiasi cha kutouona na hata kuunyoshea kidole upande ulio na tatizo..Unatamani bado upatanisho wenye Ghiriba na hila ndani yake.
Kwa ujumla wewe ni mnufaika wa huu mfumo.
Ilibadilisha jina au ni Muunganiko wa vyama?Hujui kitu, soma tu comments za wengine utaelimika zaidi. CCM imebadilisha tu jina lake kutoka TANU/ASP na TAA, Shiraz Party/African Association ambavyo vilikuwepo wakati wa ukoloni.
Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi.
Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio la mahakama limekwisha expire.
Tusiwe na tabia ya kulibagaza jeshi la polisi kama vile uwepo wake sio muhimu kwetu. yaani chadema inaweza kuishi nchini hapa bila kutegemea jeshi la polisi? Tusipimane ubavu na serikali.
Wewe ni mjinga CCM imeshakataliwa na wananchi kitambo ndo maana uliona viongozi wamejisimika wenyewe kwa kupitia genge la wahuni ambao ni wakuu wa police na usalama kiufupi ccm imeshakufa kwa wananchi na hiyo yote kuleta viongozi wasiokua na ushawishi kwa wananchi kuendekeza ufisadi na wizihUwezi fananisha CCM ambayo ilikuwepo hata wakati wa ukoloni na chadema. Ukitaka kuondoa CCM lazima uwe na adabu, hekima na busara kuliko kuivimbia na kuitishia. Serikali ya CCM ni nusu raia na nusu jeshi. Wale tuliokwenda jeshini enzi mnakumbuka kuwa kila mwanajeshi alikula mafunzo ya miezi 3 ya CCM na kupewa kadi ya CCM. Vyama vingi viliondoa mafunzo yale kikatiba tu.