Kwanini Wanawake wa Kikristo hawajifunika Vichwa vyao? Au sio dalili ya heshima kwao?

Wanajifunika, ufahamu vema ukristo na desturi zake. Kwa kuwa we ni muislam mambo ya kikristo hutayaelewa, utaona giza nene. Dunia inaenda kasi sana na mambo mengi yanabadilika hata kwenye uislam wako kuna mabadiliko yasiyo rasmi japo mnajifanya hamuyaoni
 
"Wameamrishwa", maana yake hawapo huru.
Uhuru una mipaka kijana na ndio maana hata nchi tu zina sheria na taratibu zake ukisema watu wawe huru wengine uhuru wao kuiba wengine kutembea na wake za watu je vipi tuwaachie tu kwasababu tukiwakataza hawatakua huru
 
Ushasema yasiyo rasmi hayo hayatambuliki kwenye uislam munayatambua nyie musiokua rasmi
 
Jangwani vumbi jingi... Kuvaa kininja na jua hili sio mchezo.
 
Umeamua kutumıa biblia kunukuu maandiko na wakati huwa mnasema biblia imechakachuliwa na sio yenyewe!?
 
Ukimaliza kujiuliza hilo turudi kwenye wale wataalam wa kufunika vichwa vyao ila ni wasambaraji wazuri wa huduma za mtandao pendwa.
 
Elewa maandiko,

Rebeka alivaa shera, vazi la harusi,

Jiulize kwann kabla hajamuona hakuwa amejifunika Hadi alipomwona ndipo akafunika?

Anyway, KICHWA Cha mwanamke ni sahihi kufunikwa, anakifunua akiwa na mumewe tu chumbani.
 
Ushasema yasiyo rasmi hayo hayatambuliki kwenye uislam munayatambua nyie musiokua rasmi
yasikuwa rasmi ni mambo ambayo hayakupangwa tangu awali ila waumini wanaanza kuyazoea na kuona ni ya kawaida. Mbona hata huo uislam wenu unameng'enyuka hata kama hamtaki.
 
yasikuwa rasmi ni mambo ambayo hayakupangwa tangu awali ila waumini wanaanza kuyazoea na kuona ni ya kawaida. Mbona hata huo uislam wenu unameng'enyuka hata kama hamtaki.
Uislamu hauna mazoea bali una sharia na taratibu zake ambazo zipo hivyo hivyo milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…