Kwanini Wanawake wa Kikristo hawajifunika Vichwa vyao? Au sio dalili ya heshima kwao?

1 Wakoritho 11:3 Napenda mfahamu kwamba kichwa cha kila mwanaume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanaume, nacho kichwa cha Kristo ni Mungu.

MAANA YA MWANAMKE KUFUNIKA KICHWA KIKRISTO NI KUMSITIRI MWANAUME MAANA KICHWA CHA MWANAMKE NI MWANAUME NA KUMFICHIA AIBU MUME WAKE , KUFICHA MADHAIFU YA MUME, KUTUNZA SIRI ZA MUME WAKE ( MWANAUME).

** KUFUNIKA - KUSITIRI , KUFICHA , KUZIBA ...KITU KISIONEKANE
 
Wanawake wa kiislamu mavazi yao yanapendeza mno kwa kweli
Wanapendeza nje kimavazi ila hayo maijabu na manguo yao tunayavua gest na kwenye magheto yetu kirahisi sana . Tena tunawasaidia kutoa kabisa vile vipini wanavyoweka kushikilia maushungi yao
 
Ni kwa sababu wanaume wa kikiristo HAWANA WIVU WA KIPUUZI kwa wake zao kama walivyo waume za wale wanawake wanaojifunika gubigubi huku wakizurula mitaani.
 
Wanawake wa kiislamu mavazi yao yanapendeza mno kwa kweli
 
Kujifunika kichwa sio heshima, zenj wanajifunika vichwa, na ni swala tano,Ila wanaongoza kubanduliwa k za nyuma!
 
Hahaha ndio maana Allah na Mudy ni reject wanawaogopa wayahudi hadi wameshindwa kuwasaidia wapalestina.

NAJIVUNIA MIMI SIYO MWISLAM
Wewe kumbe chizi? Allah ndio anatoa roho yako, katoa roho za bibi zako na babu zako na ndio alietoa roho ya Yesu wako
 
Mwanamke akitembea kavaa chupi inakuathiri vipi?
Mzee wako unaweza kutembea nae akiwa na chupi mkapita kariakoo au manzese? Hivi wakiristo hizi comments mnafikiria kabla kuleta humu?
 
Wale wa mama wa zamani wanafunika aisee.

Mama yangu mzazi i barely saw her head.

Muda wote utamkuta na kitambaa kichwani.

Biblia inasema hivyo. Mwanamke asiyefunika kichwa chake ni sawa na kuwa yupo uchi.

Vizazi ya dot. Com hivyo ni sawa na waislamu wanakula nguruwe tu.
 
Wakiristo wa jf wanaleta picha za wakiristo wenzao wa kiarabu ili kupotisha. Na hata kama waislam basi watakuwa wanaishi ktk nchi za kikiristo na wanafata mila za kikiristo. Nchi za kiislam hawa bakora mpaka wanakojoa damu, hawathubutu kuvaa hivyo
Picha za AI hizo zisikushughulishe.
 
Waislam wanakula nguruwe. Kwa sababu wanafata marafiki wa kikiristo. Muislam anaejitambua hali nguruwe
 
Wanawake wa kiislamu mavazi yao yanapendeza mno kwa kweli
Sio mavazi tu hata masuala mengine kama utiifu, usafi, mapishi n.k kama umewahi kudate na list ndefu ya mabinti ya kikrosto na kiislamu utagundua kuna tofauti kubwa sana.

Kama kuna mafundisho ambayo mabinti wa kiislamu wanapewa ingekua poa na mabinti wa kikristo wapewe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…