kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc, sio waongeaji sana,ni mahandsome kwa mbali, haturingi, tumeenda enda vidato, tumetembea tembea hii dunia hivyo tuna exposure flani,hatuna cycle kubwa ya the so called friends na mengine kadha wa kadha.
So recently kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya nimegundua sisi wanaume mabrothermen tukiwa na mahusiano hasa na wanawake wa hapa kwetu Tanzania, hawa wanawake wana tabia ya kutojiamini kabisa,hivyo kupelekea mahusiano kufa na kuonekana kuwa sisi mabrothermen ni wazee wa hit and run kitu ambacho sio kweli kabisa.
Kautafiti kangu kalienda mbali zaidi na kugundua kuwa hawa wanawake huwa hawana amani kabisa wawapo na sisi brothermen.
So ebu naomba mnisaidie kunijibu kwa nini hii hali huwakuta wanawake wanapokua kwenye mahusiano na sisi mabrothermen?