Kwanini wanawake wa Kitanzania huwa hawajiamini wanapokua kwenye mahusiano na sisi wanaume Mabrothermen?

Wanaume ambao Tumepambana, Tuna maisha fulani [sio mazuri kiviiile], Tunajielewa , Tuna dress better, Hatuongei sana, Tunasikiliza watu, hua Tunachorwa kama watu wenye akili na Tunasukumwa na malengo...

Hatuna hofu ya kupoteza chochote kile ikiwemo mwanamke , sababu tuna kitu kinacho tusukuma zaidi kuliko chochote..

Wanawake hua wanatuogopa sababu hua wanatambua watu wa aina hii hatupendi ujinga , Tunahitaji mke sio demu, Wanawake wanakua na hofu like "Hivi namtendea mambo sahihi kweli?, Nikiomba pesa si ataona napenda hela zake? Nikimkosea si ataniacha, ntakua nimechezea bahati ?"

Mimi pia ni Gentleman, Nina experience ya kutosha kwenye hili..

Tupambanee.
 
Wanaume ambao Tumepambana tuna maisha fulani, Tunajielewa , Tuna dress better, Hatuongei sana, Tunasikiliza watu, hua Tunachorwa kama watu wenye akili na Tunasukumwa na malengo...

Hatuna hofu ya kupoteza chochote kile ikiwemo mwanamke , sababu tuna kitu kinacho tusukuma zaidi kuliko chochote..

Wanawake hua wanaogopa sababu hua wanatambua watu wa aina hii hatupendi ujinga , tunahitaji mke sio demu, Wanawake wanakua na hofu like "Hivi ananiamini kweli?, Nikiomba pesa si ataona napenda hela zake , hatanioa...

Mimi pia ni Gentleman, Nina experience ya kutosha kwenye hili..

Tupambanee.
Ukiishi hivi kwa kiasi kikubwa utaminya uhuru wa mwanamke na akipata chance ya kukutanguliza kaburini hatojiuliza mara mbili mbili.
 
Yaah unachosema uko sahihi mkuu, Lakini ndivyo tulivyo , kubadili tabia tena si unajua ni swala gumu sana , Hatuna namna ..
 
Yaah unachosema uko sahihi mkuu, Lakini ndivyo tulivyo , kubadili tabia tena si unajua ni swala gumu sana , Hatuna namna .
Kiufupi wanawake wa kawaida hawawapendi nyie, wala hawana furaha na nyie.....wale wanawake much know vingereza vingi, mageti kali ndo huwa wanadata na kuoza kwenu.
 
Hebu niambie vizuri Tajiri , kwanini wasiwe na furaha na sisi? Huenda kuna cha kujifunza ?
 
Hawana chemistry yoyote na nyie, imagine wewe una exposure ya kutosha na lifestyles, world, business, etc....afu yeye kaisha form 4 au la saba B.

Yeye anachojua ni kusuka twende kilioni, kushona sare za vijora, kununuliwa zege la chips, na upuuzi puuzi mwingine ambao hauna future.....

Sasa umetulia zako sitting room au upo garden nje huyo she atakupa lipi jipya lakurefresh akili.....

Tofauti na mtoto wa kishua mambo ya kurushiana mito, mambo yakukimbizana beach, mtoto akienda supermarket anajua vya kununua, mtoto anakupa ratiba za jogging gym etc angalau ataleta chemistry.
 
😆😆😆 Nimecheka sana hiyo paragraph ya mwisho ...

Unajua kulingana na ishu ninazofanya nina number kubwa ya contacts, na hua ninajitahidi ku-view status za kila mmoja, Ili nao pia wasiache kuview product zangu...

Sasa asilimia kubwa ya wanawake hawa wa kwetu huku uswahilini [kwa experience yangu] maranyingi hua wanaweka status zenye maudhui kama "Pesa ndo kila kitu", "Mwanaume mwenye akili ni yule mwenye pesa"...

Hii hua inaniogopesha sana, unakuta binti ni mzuri tu ila kwa Mindset yake unaogopa kumtongoza asije akaona ameokota dodo [Kama Jay Melody anavyoimba 😆😆], ukawa umeoa Chuma ulete .
[Japo sio wote kuna mabinti wa hali ya chini wanaojitambua sana, saanaa].

Sasa swali nalojiuliza apa kwa hiki unachoniambia, kwanini sasa hawa wanawake wa huku kwetu uswahilini wanaogopa kudate na wanaume wenye value kubwa wakati kwenye status zao wanaandika wanapenda mtu mwenye pesa, hata ukiwakuta vijiweni kwao wanajadili kwamba wanataka mtu mwenye pesa na akili?

Maana kitaalamu Mtu unachokisema mara nyingi ni matokeo yakile unachokiwazia sana 🤔🤔 Soma Tena!!
 
😅😅😅😅😅 mimi nimekuelewa vizuri sana kinachoshangaza ni hichi kitu kinaitwa USHAMBA.

Ushamba wao ndiyo big problem hawana exposure na vitu vingi na akili zao ni brainwashed, ni watu wenye njaa sana maana ivo vitu wanavo vitamani ni vitu vya kawaida sana ila wana ona ni lulu na hawajui wavipate vipi na wakiwa na wewe mwenye navyo vinawapa ushamba hawajui matumizi.

Kiufupi unakuwa unadate na mwanamke ambaye sio level wala type yako.

Broh kama umejipata achana na wanawake njaa wa kiswahili go and date for wise ones, wanawake njaa wakiswahili kama utataka kudate naye awe real (umaskini wake uwe unaona anavo ishi sio wakuja kukuigizia).

Mwanamke wa kimaskini ni mzuri akiwa real, sio wale wala chipsi kuku mjini na kulala kwenye maappartments ya ghali, wakati wazazi wake kijijini nyumba zinaanguka, hawana vyoo.
 
😆😆😆 Binafsi nimefurahi sana kupiga Story mbili tatu nawewe mkuu, Nimependa sana uelewa wako...

Bilashaka tutaendelea kukutana humu Gentleman The Eric
 
😆😆😆 Nimecheka sana hiyo paragraph ya mwisho ...

Unajua kulingana na ishu ninazofanya nina number kubwa ya contacts, na hua ninajitahidi ku-view status za kila mmoja, Ili nao pia wasiache kuview product zangu...

Sasa asilimia kubwa ya wanawake hawa wa kwetu huku uswahilini [kwa experience yangu] maranyingi hua wanaweka status zenye maudhui kama "Pesa ndo kila kitu", "Mwanaume mwenye akili ni yule mwenye pesa"...

Hii hua inaniogopesha sana, unakuta binti ni mzuri tu ila kwa Mindset yake unaogopa kumtongoza asije akaona ameokota dodo [Kama Jay Melody anavyoimba 😆😆], ukawa umeoa Chuma ulete .
[Japo sio wote kuna mabinti wa hali ya chini wanaojitambua sana, saanaa].

Sasa swali nalojiuliza apa kwa hiki unachoniambia, kwanini sasa hawa wanawake wa huku kwetu uswahilini wanaogopa kudate na wanaume wenye value kubwa wakati kwenye status zao wanaandika wanapenda mtu mwenye pesa, hata ukiwakuta vijiweni kwao wanajadili kwamba wanataka mtu mwenye pesa na akili?

Maana kitaalamu Mtu unachokisema mara nyingi ni matokeo yakile unachokiwazia sana 🤔🤔 Soma Tena!!
Mwanamke wa kiswahili anakuogopa wewe kwa sababu hizi
1. Anajua hawezi kutunza muda wake kama wewe. Yaani hawezi kuwa punctual kwa speed ya maisha yake.

2. Ashazoea kudanganya na kusema uongo, anaogopa utamkamata.

3. Ameshazoea uchafu hawezi kujiweka mrembo, amezoea mawigi ya elfu 5 😅😅 ukimpa elfu 50 ya wigi hawezi kununua.

Sababu ni nyingi ila hizo ni baadhi.
 
Asante mwamba nipo nimeongeza nyama hapo.
Mwanamke wa kiswahili anakuogopa wewe kwa sababu hizi
1. Anajua hawezi kutunza muda wake kama wewe. Yaani hawezi kuwa punctual kwa speed ya maisha yake.

2. Ashazoea kudanganya na kusema uongo, anaogopa utamkamata.

3. Ameshazoea uchafu hawezi kujiweka mrembo, amezoea mawigi ya elfu 5 😅😅 ukimpa elfu 50 ya wigi hawezi kununua.

Sababu ni nyingi ila hizo ni baadhi.
😆😆😆 Tumalize na hii 👇👇
d424e37c46c44c768d327ea4eddb5583.jpg
 
Back
Top Bottom