technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kosa lipo kwa serikali kwa kushindwa ku update sheria ya ndoa ya 1971 lakini ime impose sera nyingi sana za usawa. Ilipaswa ku update sheria ya ndoa kwanza.Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa
Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie
Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya pedi lakini muda huo huo anataka urudi mapema nyumbani
Shame!!
Soluhisho ni kutooa kabisa au kuoa wa darasa la saba hapo ndo angalau utapata mke wanyumbani na madai yanapungua kidoho.Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa
Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie
Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya pedi lakini muda huo huo anataka urudi mapema nyumbani
Shame!!
Weka basi ukweli na uhalisi, ukiondoa pussy anabaki na nini. Kisha jibu hoja, unatakaje 50/50 halafu nikuhudumie 100%Halafu utasikia "ukiondoa pussy yake, hana alichobakiza" ajabu hao hao ni 24/7 kuwaongelea wanawake,
wanawake this, wanawake that,
WHO RUN THE WORLD......WOMEN👑🎊🥳
Hili swali libebe kama lilivyo kamuulize baba ako, kama huna muulize anko ako, kama huna muulize kiongozi wako wa dini,Weka basi ukweli na uhalisi, ukiondoa pussy anabaki na nini.
Na mimi nakugeuzia swali hilo hilo, ukitolewa kende zako unabaki na nini?Weka basi ukweli na uhalisi, ukiondoa pussy anabaki na nini?
Ona hii kenge, aliyejibu mada hapa ni baba yangu? Angalia usijekuwa unathibitisha ukiondoa pussy unapaki huna kitu kingine cha maanaHili swali libebe kama lilivyo kamuulize baba ako, kama huna muulize anko ako, kama huna muulize kiongozi wako wa dini,
Watakupa majibu mujarabu
Huyo wa la saba hakui? atabaki young milele?Soluhisho ni kutooa kabisa au kuoa wa darasa la saba hapo ndo angalau utapata mke wanyumbani na madai yanapungua kidoho.
Kamuulize baba ako au anko ako au kiongozi wako wa dini hilo swali, utapata jibu mujarabuOna hii kenge, aliyejibu mada hapa ni baba yangu? Angalia usijekuwa unathibitisha ukiondoa pussy unapaki huna kitu kingine cha maana
Nabaki na uwezo wa kumhudumia huyo ambaye ukiondoa pussy anabakia empty setNa mimi nakugeuzia swali hilo hilo, ukitolewa kende zako unabaki na nini?
Mwanamke wako mnayependana kukutaka urudi nyumbani mapema nayo ni 50/50??Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa
Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie
Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya pedi lakini muda huo huo anataka urudi mapema nyumbani
Shame!!
Utamuhudumia ukiwa huna kende, yan ndani wote muwe mnatembeza viuno juu juu tu, kisa kula na kulala, hahahaha inafurahisha kuimagineNabaki na uwezo wa kumhudumia huyo ambaye ukiondoa pussy anabakia empty set