Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Ningezingatia zaidi hii statement kama ingetolewa na mwanaume. Lakini suala la mwanamke kuwa msemaji wa wanaume, i smell something fishy.Vitu vyote ambavyo havina faida mwanaume hafanyi, chukua hii weka mfukoni.