Na ukiwaeleza hawatokaa wakakuelewa wamebeba nadharia zao mbalilmbali zinazoendana na kudanga au kuchuna wanaume! Hawajui hiyo ilitokana na ukandamizaji uliotokea hapo kale enzi za mambabu, ikaanzishwa movement ili kusaidia wanawake! Mwanamke alionekana kiumbe duni asiye na maamuzi hivyo wakamnyima uhuru wa kupata elimu, kuongoza au kusimama na kuongea mbele ya wanaume! Hakupewa uhuru wa kufanya maamuzi katika jamii yake alipangiwa mpaka muda wa kuolewa! Wakati kwa mwanaume haikuwa hivyo!
Hii zama ya mamboleo 50/50 imekuwa kama toa nitoe, lipa ada nilipe kodi, cheat nikucheat, ukirudi saa 8 narudi asubuhi! Ukizingua n-kuzingua which is very wrong na mitandao inaharibu sana watu wenye fukra finyu wakati deep down vitu kwa ground ni totally different!
Natafuta Ajira msome mwanaume mwenzio hapo juu uelewe maana ya 50/50 na sio kuwaita watu simp!