Kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda mwanaume ambaye ‘ana stress za maisha’ kuliko yule mwenye amani?”

Kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda mwanaume ambaye ‘ana stress za maisha’ kuliko yule mwenye amani?”

Dawa ya moto ni moto... Wanatafuta wenye stress wenzao ili watengeneze atomic bomb
 
Sio leo tu, tangu zamani wanapenda hekaheka, walimuacha Adam (Mr nice guy) wakamfuata nyoka sababu alikuwa bad boy
Bahati mbaya nilikua napenda vitabu kama takadini,dunia uwanja wa fujo nk, kwa hiyo hapa nimeambulia, ila patupu.
 
Inaonekana mwanaume mwenye presha ya maisha, anahangaika na kodi, anafuatwa na madeni, na bado anampenda mpenzi wake kwa moyo wote, ndiye anayependwa zaidi kuliko yule aliyestabilize, hana stress, anakwambia “relax tu, maisha ni mafupi.”

Ni kwamba wanawake wanapenda action movie kuliko documentary au kuna kitu cha kiroho hapa?

Wapo wanaume wanasema, “nilipopata pesa aliniacha,” na wengine wanasema, “alinipenda nikiwa na shida, nikapona akaniacha.” Hii nayo tuitafsiri vipi
Mwanamme mwenye stress za maisha anadumu sana kitandani kwenye lile jambo letu tukufu la kubatizana kwa sababu anajitahidi ili asahau matatizo yake. Mwanamme mwenye amani ana hofu ya kufanya lile jambo kwani anahofia kuwa anamuumiza mwanamke vile anavyopiga kelele za utamu kuita malaika wake waje wamshike mapaja.
 
Ni wa kwako tu ndo yuko hivyo wengine ni utu na utulivu na mpapaso wa maana mpk unatembea upande upande km fuso iliyokata center bolt
 
Weeeee akutane na kichwa kama Smart hekaheka zitakosaje??? Lazima anyooke🤣
Mfano wewe hapo, sweetheart, nikikaa kimya kwa mambo yako...

Unaanza aisee siku hizi naona hunifokei kabisa, sawa tu... Hahaha
 
Back
Top Bottom